Kozi
Sahih Muslim
Fiqhi, Swala na Ibada
214 masomo
- 406 Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alitoka kwetu sisi, tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tumekwi... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-5378 Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha) Hukumu za Swala na Tohara
- 850 Atakaye koga siku ya Ijumaa josho la janaba, kisha akatoka katika saa ya kwanza ni kana kwamba katoa sadaka ya... Hukumu za Swala na Tohara
- 1092 Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge Hukumu za Swala na Tohara
- 137 Atakayejikatia haki ya muislamu kwa mkono wake wa kulia, basi Mwenyezi Mungu atakuwa kamuwajibishia moto, na k... Hukumu za Swala na Tohara
- 857 Atakayetawadha na akaufanya vizuri udhu, kisha akaja katika swala ya Ijumaa akasikiliza na akanyamaza atasameh... Hukumu za Swala na Tohara
- 657 Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu Hukumu za Swala na Tohara
- 669 Atakayekwenda asubuhi msikitini au mchana, Mwenyezi Mungu humuandalia nyumba peponi kila anapotoka asubuhi au... Hukumu za Swala na Tohara
- 2588 Sadaka haikuwahi kupunguza chochote katika mali, na hakuna jambo zuri zaidi analomzidishia Mwenyezi Mungu mja... Hukumu za Swala na Tohara
- 2191 Ondosha tatizo, ewe Mola wa watu, na ponya kwani wewe ndiye mponyaji, hakuna ponyo ila ponyo lako, ponyo lisil... Hukumu za Swala na Tohara
- 2186 Bismillaahi Arqiika, Min kulli shai-in Yu-udhiika, min sharri kulli nafsin Au Aini Haasidin, Allaahu yash-fiik... Hukumu za Swala na Tohara
- 1832 Wallah hatochukua chochote yeyote miongoni mwenu pasina haki yake, isipokuwa atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa... Hukumu za Swala na Tohara
- 715 Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema Hukumu za Swala na Tohara
- HE-5805 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe Hukumu za Swala na Tohara
- 995 Dinari moja unayoitoa kwenye njia ya Allah, na dinari moja unayoitoa kwa mtumwa, na dinari moja unayoitoa sada... Hukumu za Swala na Tohara
- 1627 Hakuna haki yoyote ya mtu muislamu anayotakiwa kuitolea usia, isipokuwa ahakikishae halali siku tatu, isipokuw... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-5863 Enyi kongamano la vijana mwenye uwezo miongoni mwenu wa kuoa na aoe, kwani ndoa ni sababu ya kuinamisha macho... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-5887 Gaweni mirathi kwa wastahiki wake, itakayobakia basi mwenye kustahiki zaidi upande wa mwanaume ni wa kiume Hukumu za Swala na Tohara
- 2172 Tahadharini sana na kuingia/kukaa kwa wanawake" Mtu mmoja katika Maanswari akasema: Ewe Mtume wa Allah vipi ku... Hukumu za Swala na Tohara
- 1586 Fedha kwa dhahabu ni riba, ila kama itakuwa mkono kwa mkono, na ngano isiyokobolewa ni riba, ila kama itakuwa... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-6017 Hana swaumu atakayefunga milele, na funga ya siku tatu ni sawa na kufunga mwaka mzima Hukumu za Swala na Tohara
- 2202 Weka mkono wako juu ya mahala panapoumia katika mwili wako, na usema: Bismillaah, (kwa jina la Mwenyezi Mungu)... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-6021 Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu Hukumu za Swala na Tohara
- 1623 Basi usinifanye mimi kuwa shahidi, kwani siwezi kushuhudia dhulma Hukumu za Swala na Tohara
- 938 Asiache mapambo na kupendeza mwanamke yeyote kwa maiti zaidi ya siku tatu, isipokuwa kwa mume wake atakaa miez... Hukumu za Swala na Tohara
- 474 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anaposema: Sami'allaahu liman hamidah: (Amemsikia Mwenyezi Mungu m... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-6179 Alikuwa Mtume wa Allah -rehema na amani ziwe juu yake ni mkarimu kuliko watu wote, na alikuwa mkarimu zaidi an... Hukumu za Swala na Tohara
- 594 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitoa tahlil (Laa ilaaha illa llaah) kwa maneno haya mwisho wa... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-6215 Kamwe, hatoingia motoni mtu yeyote aliyeswali kabla ya kuchomoza Jua na kabla ya kuzama kwake Hukumu za Swala na Tohara
- 228 Hakuna Muislamu yeyote atafikiwa na Sala ya lazima kisha akaufanya vizuri udhu wake, na Unyenyekevu wake na Ra... Hukumu za Swala na Tohara
- 596 Adh-kari za baada ya sala ya faradhi hapati hasara msomaji au mfanyaji wake, kusema Sub-haana llahi mara thela... Hukumu za Swala na Tohara
- 245 Atakayetawadha na akaufanya vizuri udhu wake, hutoka makosa yake ndani ya mwili wake mpaka yakatiririka kutoka... Hukumu za Swala na Tohara
- 386 Atakayesema wakati anamsikia muadhini: Ninashuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwen... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-6460 Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka Hukumu za Swala na Tohara
- 507 Lau angejua mwenye kupita mbele ya mwenye kuswali nini anachokipata, basi kusimama arobaini ni bora kwake kuli... Hukumu za Swala na Tohara
- 238 Atakapoamka mmoja wenu kutoka usingizini mwake basi na apenge kwa maji mara tatu, kwani Shetani hulala ndani y... Hukumu za Swala na Tohara
- 243 Yakwamba mtu mmoja alitawadha, akaacha sehemu ndogo saizi ya kucha miguuni kwake, akaiona Mtume Rehema na Aman... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-8387 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiosha, au akioga, kwa kibaba kimoja mpaka vibaba vitano, na anat... Hukumu za Swala na Tohara
- 234 “Hakuna Muislamu anayetawadha na akautia vizuri udhu wake, kisha akasimama na kuswali rakaa mbili, akielekea k... Hukumu za Swala na Tohara
- 1080 Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku Hukumu za Swala na Tohara