Kozi
Sahih Muslim

Fiqhi, Swala na Ibada

214 masomo

  1. HE-3444 akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- Hukumu za Swala na Tohara
  2. HE-3456 Nilimjia Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- naye akiwa anapiga mswaki kwa mswaki wa mti mbichi, Akasema: na... Hukumu za Swala na Tohara
  3. HE-3512 Nilimpa ahadi ya utiifu Mtume rehema na amani ziwe juu yake juu ya kushuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudi... Hukumu za Swala na Tohara
  4. HE-3529 Yakwamba yeye alikuja kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwa na mtoto wake mdogo hajaanza kula, Mtume r... Hukumu za Swala na Tohara
  5. HE-3534 Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe Hukumu za Swala na Tohara
  6. HE-3535 Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu Hukumu za Swala na Tohara
  7. HE-3537 Alichelewesha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- swala ya ishaa, akatoka Omar, akasema: Swala Ewe Mjumbe wa... Hukumu za Swala na Tohara
  8. 1151 Amesema Mwenyezi Mungu: Kila amali ya mwanadamu hiyo ni ya kwake isipokuwa swaumu, bila shaka hiyo ni yangu na... Hukumu za Swala na Tohara
  9. 140 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hivi wasemaje endapo atakuja mtu anataka kuchukua mali yangu? Hukumu za Swala na Tohara
  10. HE-3565 Simama na uswali witiri ewe Aisha Hukumu za Swala na Tohara
  11. HE-3599 Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini Hukumu za Swala na Tohara
  12. 774 Alitajwa kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake mtu mmoja aliyelala usiku mpaka pakapambazuka, akasema: "Huyo... Hukumu za Swala na Tohara
  13. HE-3731 Anafunga shetani juu ya kisogo cha kichwa cha mmoja wenu, pindi anapolala, mafundo matatu, anafunga katika kil... Hukumu za Swala na Tohara
  14. 1152 Hakika Peponi kuna mlango unaoitwa Rayyani, watauingia wafungaji siku ya Kiyama, hato ingia ndani ya Pepo hiyo... Hukumu za Swala na Tohara
  15. HE-3758 Tulikuwa tukimuandalia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- mswaki wake na (maji yake kwaa... Hukumu za Swala na Tohara
  16. HE-4196 Atakayefunga Ramadhani kwa imani na kutaraji malipo toka kwa Allah, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia Hukumu za Swala na Tohara
  17. HE-4198 Atakayeswali (wakati) wa baridi mbili ataingia peponi Hukumu za Swala na Tohara
  18. HE-4202 Mwenye kusimama usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) kwa imani na kutaraji malipo, husamehewa madhambi yake yaliy... Hukumu za Swala na Tohara
  19. HE-4311 Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja Hukumu za Swala na Tohara
  20. 1599 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Hukumu za Swala na Tohara
  21. 1955 Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu Hukumu za Swala na Tohara
  22. 1098 Wanaendelea watu kuwa katika kheri kwa muda wote watakaofanya haraka kufuturu Hukumu za Swala na Tohara
  23. HE-4457 Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika swala, nikasema: Ul... Hukumu za Swala na Tohara
  24. 1172 Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa akikaa itikafu siku kumi za mwisho wa Ramadhani, mpaka al... Hukumu za Swala na Tohara
  25. 1095 Chelewesheni kula daku, hakika katika kuchelewesha kula daku kuna baraka Hukumu za Swala na Tohara
  26. HE-4503 Si katika wema kufunga safarini Hukumu za Swala na Tohara
  27. HE-4520 Alifaradhisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul-fitiri kibaba cha tende, au kibaba cha ngano, kwa mt... Hukumu za Swala na Tohara
  28. 1137 Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake, akasema: Siku mbili hizi... Hukumu za Swala na Tohara
  29. 1184 Nikuwa Talbiya (kuitika) kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kulikuwa ni: Labbaikallaahumma labbaika -Nime... Hukumu za Swala na Tohara
  30. 721 Aliniusia mimi kipenzi changu -rehema na amani ziwe juu yake kwa mambo matatu: kufunga siku tatu katika kila m... Hukumu za Swala na Tohara
  31. 1169 Utafuteni usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) katika witiri za kumi la mwisho katika Ramadhani Hukumu za Swala na Tohara
  32. 1165 Naona ndoto zenu zimeafikiana katika siku saba za mwisho, basi atakayetaka kuitafuta basi na aitafute katika s... Hukumu za Swala na Tohara
  33. 1080 Mtakapouona basi fungeni, na mtakapouona basi fungueni, ukifunikwa kwenu nyinyi basi ukadirieni Hukumu za Swala na Tohara
  34. 1581 Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu Hukumu za Swala na Tohara
  35. 1337 Niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi yaleteni katika hayo kadiri muwezavyo, na haki... Hukumu za Swala na Tohara
  36. HE-4850 Atakayekula kitunguusaumu, au kitunguu maji, basi na ajitenge nasi, au ajitenge na msikiti wetu, na akae nyumb... Hukumu za Swala na Tohara
  37. HE-4965 Hakuacha Jibrili kuniusia kuhusu jirani, mpaka nikadhania kuwa atamrithisha Hukumu za Swala na Tohara
  38. HE-4968 Hebu nielezeni lau kama Mto ungelikua mlangoni kwa mmoja wenu akioga humo kila siku mara tano, unasemaje kuhus... Hukumu za Swala na Tohara
  39. HE-5212 Hakuwahi kuswali tena Mtume rehema na amani ziwe juu yake swala yoyote baada kuteremka kwake: "Itakapokuja nus... Hukumu za Swala na Tohara
  40. 2625 Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yake, na umkumbuke jirani yako Hukumu za Swala na Tohara