Kozi
Sahih Muslim
Fiqhi, Swala na Ibada
214 masomo
- 285 Hakika Misikiti hii haifai kuwekwa chochote katika mikojo hii, wala uchafu wowote, bali hii ni kwa ajili ya ku... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-8954 Atakayeandaa mnyama kwa ajili ya kuchinja, na ukaandama mwandamo wa mwezi Dhul Hija, basi asipunguze chochote... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10011 Enyi hadhara ya wanawake, toeni sadaka, kwani hakika mimi nilionyeshwa kuwa nyinyi ndio wengi katika watu wa m... Hukumu za Swala na Tohara
- 334 Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10036 Kuoga siku ya Ijumaa ni wajibu kwa kila aliyebaleghe, na apige mswaki, na aguse marashi ikiwa atapata Hukumu za Swala na Tohara
- 262 Asistanji mmoja wenu kwa chini ya mawe matatu Hukumu za Swala na Tohara
- 1079 Inapokuja Ramadhani hufunguliwa milango ya pepo na hufungwa milango ya moto, na mashetani hufungwa minyororo Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10603 Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake Hukumu za Swala na Tohara
- 831 Nyakati tatu alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitukataza kuswali ndani yake, au kuzika ndani yake... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10639 Asiswali mmoja wenu katika nguo moja ambayo hakuna chochote mabegani mwake Hukumu za Swala na Tohara
- 498 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akifungua swala kwa takbira (Allaahu Akbaru) na kisomo kwa kuanza... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10925 Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba Hukumu za Swala na Tohara
- 494 Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako Hukumu za Swala na Tohara
- 591 Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam Hukumu za Swala na Tohara
- 597 Atakaye msabihi Mwenyezi Mungu mwisho wa kila swala mara thelathini na tatu (33), na akamhimidi Mwenyezi Mungu... Hukumu za Swala na Tohara
- 571 Atakapopata shaka mmoja wenu katika swala yake, akawa hajui kaswali rakaa ngapi tatu au nne? Basi aachane na s... Hukumu za Swala na Tohara
- 726 Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alisoma katika rakaa mbili za (sunna ya) Alfajiri {Qul yaa ayyuha... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11259 Bwana mmoja alimuuliza Mtume Muhammad rehema na amani za Allah ziwe juu yake akiwa juu ya mimbari, waonaje kuh... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11286 Imekuwa ni bora swala ya wengi kuliko swala ya mmoja wenu peke yake, kwa vipengele ishirini na tano, na hukusa... Hukumu za Swala na Tohara
- 653 Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu Hukumu za Swala na Tohara
- 440 Safu bora kwa wanaume ni safu ya kwanza, na safu yenye shari ni ya nyuma, na safu bora kwa wanawake ni safu ya... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58099 Kamlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwenye kuunga nywele na mwenye kuungwa, na mwenye kuchora chata n... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58144 Hakika Mwenyezi Mungu amewafutia umma wangu yale yanayozungumzwa na nafsi zao, madamu hayajafanyiwa kazi au ku... Hukumu za Swala na Tohara
- 2003 kila kilevi ni haramu, na atakayekunywa pombe duniani na akafa akiwa mlevi kupindukia na hakutubia, hatoinywa... Hukumu za Swala na Tohara
- 1934 Alikataza kula kila chenye meno ya chonge katika wanyama wanaoshambulia, na kila chenye mdomo wa chonge katika... Hukumu za Swala na Tohara
- 1645 Kafara ya nadhiri ndio kafara ya kiapo Hukumu za Swala na Tohara
- 362 Atakapo hisi mmoja wenu chochote tumboni kwake, akapata wasi wasi, je kuna chochote kimemtoka au la?, basi asi... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65084 Ni haki kwa kila muislamu aoge katika kila siku saba walau siku moja, aoshe ndani yake kichwa chake na mwili w... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65088 Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo Hukumu za Swala na Tohara
- 533 Atakayejenga msikiti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atamjengea Peponi nyumba mfano wake Hukumu za Swala na Tohara
- 1394 Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Ms... Hukumu za Swala na Tohara
- 714 Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65096 Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu Hukumu za Swala na Tohara
- 404 Pindi mtakaposwali basi nyoosheni safu zenu, kisha akuongozeni mmoja wenu, atakapotoa takbira basi toeni takbi... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65098 Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mimi ndiye mtu niliyekaribu zaidi kwenu nyinyi swala... Hukumu za Swala na Tohara
- 476 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anaponyanyua mgongo wake kutoka katika rukuu anasema: "Sami'alla... Hukumu za Swala na Tohara
- 593 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi Hukumu za Swala na Tohara
- 326 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kikimuosha kibaba cha maji kutokana na janaba, na ukimtia udhu uja... Hukumu za Swala na Tohara
- 272 Nilimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikidhi haja ndogo, kisha akatia udhu na kafuta juu ya khufu z... Hukumu za Swala na Tohara
- 582 Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitoa salamu kuliani kwake, na kushotoni kwake, mpaka... Hukumu za Swala na Tohara