Kozi
Sahih Muslim

Aqidah na Misingi ya Imani

159 masomo

  1. 1064 Hivi hamna imani na mimi hali yakuwa mimi ni muaminiwa wa yule aliyeko mbinguni, zinanijia habari za mbingu as... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  2. HE-8315 “Mwenyezi Mungu Mtukufu atawaambia watu wa Motoni wenye adhabu nafuu zaidi siku ya Kiyama: Je, mngekuwa na kit... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  3. 182 Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  4. 2829 “Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na Kutukuka, atawaambia watu wa Peponi: Enyi watu wa Peponi? Watasema: Labeka t... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  5. HE-8345 Mwenyezi Mungu atawakusanya watu wa mwanzo na mwisho katika udongo mmoja, atawasikilizisha mwenye kunadi, na a... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  6. HE-8883 Hatomtuhumu mtu mwenzake kwa machafu, na wala hatomtuhumu kwa ukafiri, isipokuwa hurejea kwake, ikiwa ndugu ya... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  7. 2228 Neno hilo huwa limetoka katika ukweli, Jini hulikwapua na kulinong'oneza katika sikio la kipenzi chake mfano w... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  8. 2106 Hawaingii Malaika nyumba ambayo ndani yake kuna mbwa au picha Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  9. 2113 Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  10. 1648 Msiape kwa masanamu, wala kwa baba zenu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  11. 31 Nenda na viatu vyangu hivi viwili, yeyote utakayekutana naye mbele ya ukuta huu na hali yakuwa anashuhudia kuw... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  12. HE-10095 Basi Mwenyezi Mungu ana huruma zaidi kwa waja wake kuliko mwanamke huyu kwa mtoto wake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  13. HE-10098 Hakuna mtu yeyote atakayeshuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu nakuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  14. HE-10101 Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkono wake, na mhamaji n... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  15. HE-10115 Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  16. 758 Anateremka Mola wetu Mlezi -Aliyetakasika na kutukuka- katika mbingu ya dunia pindi inapobakia theluthi ya mwi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  17. 972 Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  18. HE-10887 Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  19. HE-11000 Msiwatukane Maswahaba wangu, kwa sababu, lau kama yeyote kati yenu atatoa dhahabu sawa na (mlima) Uhud (katika... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  20. HE-11148 Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  21. 2866 Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubuhi na jioni Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  22. 16 Umejengwa uislamu kwa mambo matano Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  23. 49 Yeyote miongoni mwenu atayeona jambo ovu na baya basi aliondoshe kwa mkono wake, ikiwa hawezi kuliondoa kwa mk... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  24. 120 Yeyote atakayefanya wema katika Uislamu basi hatoadhibiwa kwa yale aliyoyatenda katika zama za ujinga, na yeyo... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  25. 15 Waonaje ikiwa nitaswali swala zilizofaradhishwa, na nikafunga Ramadhani, na nikahalalisha kilichokuwa halali n... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  26. 223 Twahara ni nusu ya imani, na kusema Al-hamdulillah neno hilo hujaza mizani, na neno Sub-hanallah neno Alhamdul... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  27. HE-65007 Basi tambua kuwa haki za Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni wamuabudu yeye na wala wasimshirikishe na kitu chocho... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  28. 93 Yeyote atakaye kufa hali ya kuwa hamshirikishi Mwenyezi Mungu na kitu chochote ataingia peponi, na atakaye kuf... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  29. 214 na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  30. 71 "Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  31. 132 kwa kusema kuwa hakika sisi twapata katika nafsi zetu mambo ambayo yamuia uzito mmoja wetu kuyasema, akasema:... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  32. HE-65013 Shetani humjia mmoja wenu na akamwambia: Ni nani aliumba kitu fulani? Mpaka anafikia kusema ni nani alimuumba... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  33. 2808 Kwa hakika Mwenyezi Mungu hamdhulumu muumini kwa jema alilofanya, huandikiwa thawabu za wema wake hapa Duniani... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  34. HE-65016 Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  35. 38 Nieleze ndani ya Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote zaidi yako, akasema: "Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mung... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  36. 2784 Mfano wa mtu mnafiki, ni kama Mbuzi mwenye kutangatanga baina ya makundi mawili ya Mbuzi, wakati mwingine huwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  37. HE-65021 Kwa hakika miongoni mwa alama za Kiyama ni kuondolewa elimu, na kuzidi ujinga, na kukithiri uzinifu, unywaji p... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  38. HE-65022 Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  39. HE-65023 Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  40. 155 Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu