Kozi
Sahih Muslim
Aqidah na Misingi ya Imani
159 masomo
- 93 Atakayekutana na Mwenyezi Mungu akiwa hamshirikishi na chochote basi ataingia Peponi, na atakayekutana naye ak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-3419 Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2670 Wameangamia wenye kufanya uzito katika mambo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-3503 Nimepewa mambo matano ambavyo hakupewa mtu mwingine miongoni mwa Manabii kabla yangu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-3573 Hivi nisikuelezeni watu wa peponi? Kila mnyonge mwenye kujishusha, na lau kama angeliapia kwa Mwenyezi Mungu b... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2675 Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2785 Hakika atakuja mtu mnene tena mkubwa siku ya kiyama akiwa halingani mbele ya Mwenyezi Mungu hata na uzito wa b... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4206 Muislamu atakapoulizwa kaburini anashuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mun... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4211 Nimeamrishwa nipambane na watu mpaka washuhudie kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4239 Alifariki Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- hali yakuwa hakuna chochote nyumbani kwake anachoweza kukila m... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4295 Niacheni na vile nilivyo kuachieni, hakika waliangamia waliokuwa kabla yenu kwa sababu ya maswali mengi na kuw... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 131 Hakika Mwenyezi Mungu amepanga mema na mabaya, kisha akalibainisha hilo, atakayekusudia kufanya jema akawa hak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2564 Hakika Mwenyezi Mungu hatazami sura zenu na mali zenu, lakini anatazama katika nyoyo zenu na matendo yenu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 8 Uislamu ni ushuhudie kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, nakuwa Muhammadi ni... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4792 Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2577 Enyi waja wangu hakika Mimi nimeharamisha dhulma juu ya Nafsi yangu na nikaifanya kuwa ni haramu baina yenu, b... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-4815 Usimuue, kwani ukimuuua basi yeye atakuwa katika nafasi yako kabla hujamuua, na wewe utakuwa katika nafasi yak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 104 hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alijitenga mbali na mpiga mayowe, na mnyoa nywele, na mchana nguo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2405 Hakika nitampa bendera hii mtu anayempenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Mwenyezi Mungu ataleta ufunguzi kup... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2586 Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana kwao na kufanyiana kwao upole, ni kama mfano wa kiwiliwi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2162 Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni sita" Pakasemwa: Na ni zipi hizo ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu?, a... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-5359 Nilimuuliza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: Ni dhambi ipi kubwa zaidi mbele ya Allah? Akasema: "Ni wewe... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 529 Amewalaani Mwenyezi Mungu Mayahudi na Wakristo, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa mahali pa kusalia Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-5380 Si miongoni mwetu atakayepiga mashavu, na akachana mifuko, na akaomboleza kwa maombolezo ya watu wa zama za uj... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2859 Watafufuliwa watu siku ya Kiyama wakiwa peku, uchi, hawajatahiriwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2664 Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeka kwa Mwenyezi Mungu kuliko muumini dhaifu, na katika kila kheri, Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-5657 Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 17 Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwenyezi Mungu: Upole, na utaratibu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-5811 Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2107 Watu wenye adhabu kali zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama, ni wale wenye kutengeneza mfano wa vile a... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2243 Hivi sikutumi katika yale aliyonituma kwayo Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-? (Nenda) Kamwe usiache sanam... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2230 Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote hazitokubaliwa sala zake siku arobaini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 67 Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa katika nasaba (ukoo), na kulia kwa kumuomboleza maiti Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2581 Je mnajua ni nani aliyefilisika? Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2637 Hakika Mwenyezi Mungu anapompenda mja humuita Jibril na husema: Hakika mimi ninampenda fulani basi mpende, ana... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 35 Imani ni zaidi ya vitengo sabini au zaidi ya sitini, bora yake ni kauli ya Laa ilaaha illa llaah, na ya chini... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 987 Hakuna mwenye kumiliki dhahabu wala fedha, na akawa hazitolei zaka zake, isipokuwa, pindi itakapofika siku ya... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 1016 Hakuna yeyote miongoni mwenu, isipokuwa ataongeleshwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama bila ya kuwapo na mkali... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2115 Kusibaki katika shingo la mnyama bangili za shaba au kengele isipokuwa (ahakikishe) zimekatwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 23 Atakayesema: Laa ilaah illa llaah, na akayapinga yote yanayoabudiwa kinyume na Mwenyezi Mungu itakuwa haramu m... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu