Kozi
Sahih Muslim

Aqidah na Misingi ya Imani

159 masomo

  1. HE-65026 Hakita simama Kiyama mpaka jua lichomoze kutoka upande wa Magharibi, na likichomoza na wakaliona watu wote wat... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  2. HE-65028 Ataikamata Mwenyezi Mungu ardhi, na ataikunja mbingu kwa mkono wake wa kulia kisha atasema: Mimi ndiye Mfalme;... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  3. HE-65030 Birika langu ukubwa wake ni sawa na mwendo wa mwezi mzima, maji yake ni meupe kuliko maziwa, na harufu yake ni... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  4. 5971 Kwa hakika mimi nitakuwa kwenye Birika langu namtazama kila mwenye kuja kwangu kunywa, na kuna watu watafukuzw... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  5. 2300 Namuapa yule ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake, kwa hakika vyombo vyake ni vingi kama wingi wa nyota mbing... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  6. HE-65035 Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  7. HE-65036 Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  8. HE-65037 Ametuhadithia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- naye ni mkweli mwenye kukubaliwa: "Kwa hakika mmoja wenu h... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  9. 2653 Aliandika Mwenyezi Mungu makadirio ya viumbe kabla ya kuumba Mbingu na Ardhi kwa zaidi ya miaka elfu hamsini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  10. 2656 Kila jambo linakuwa kwa namna lilivyopangwa, mpaka kushindwa kufanya jambo fulani au kulifanya kwa ufanisi, au... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  11. HE-65044 na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  12. HE-65050 Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  13. HE-65068 Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama? Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  14. 25 Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  15. HE-65071 Hakika haya unayoyasema na kuwalingania watu ni mambo mazuri, ikiwa utatwambia juu ya haya tuliyoyafanya kama... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  16. HE-65073 Nenda kwamwambie: Wewe si miongoni mwa watu wa motoni, bali ni katika watu wa peponi Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  17. 384 Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  18. 82 Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  19. 2203 Huyo ni Shetani anaitwa Khinzab, ukimuhisi basi haraka sana taka ulinzi kutoka kwa Allah dhidi yake, na uteme... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  20. 179 Hakika Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu na Mtukufu, halali, na wala haimstahikii kulala Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  21. 34 Amekwisha ionja ladha ya imani, yule mwenye kumridhia Mwenyezi Mungu kuwa ndiye Mola wake, na Uislamu ndiyo di... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  22. 58 Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  23. 2834 Hakika kundi la kwanza la watu watakaoingia peponi watakuwa katika sura ya mwezi usiku wa tarehe kumi na tano,... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  24. 918 Hakuna Muislamu yeyote atakayefikwa na msiba akasema aliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu: "Innaa lillaahi wa innaa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  25. HE-65849 Ewe Bilali, hebu nihadithie kuhusu amali yenye matarajio makubwa zaidi uliyowahi kuifanya ndani ya Uislamu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  26. HE-65868 Watatokea katika zama za mwisho watu wenye umri mdogo (vijana), wenye mawazo ya kipumbavu, watazungumza maneno... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  27. HE-65879 Halitoacha kuendelea kudhihiri kundi katika Umma wangu, mpaka iwajie amri ya Mwenyezi Mungu nao wakiwa katika... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  28. 1715 Hakika Mwenyezi Mungu anaridhia kwenu mambo matatu, na anachukia kwenu mambo matatu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  29. 60 Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri, basi utampata mmoja katika ya hao wawili, ikiwa ataku... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  30. HE-66370 Karne bora ni karne yangu, kisha wale wanaowafuata, kisha wale wanaowafuata Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  31. HE-66512 Umejengwa uislamu kwa mambo matano Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  32. 2643 Hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake ndani ya tumbo la mama yake siku arobaini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  33. HE-66514 Yeyote atakayezua (kitu) katika jambo letu hili (dini) ambalo si miongoni mwake, basi hilo litakataliwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  34. 1337 Yale niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi fanyeni katika hayo kadiri muwezavyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  35. 1015 Enyi watu! Hakika Mwenyezi Mungu ni mzuri hakubali ila vizuri, na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini k... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  36. HE-66524 Nieleze ndani ya Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote zaidi yako, akasema: "Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mung... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  37. 15 Waonaje ikiwa nitaswali swala zilizofaradhishwa, na nikafunga Ramadhani, na nikahalalisha kilichokuwa halali n... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  38. 131 Hakika Mwenyezi Mungu aliandika mema na maovu, kisha akalibainisha hilo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  39. 58 Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu