Kozi
Sahih Muslim
Maadili, Adabu na Tabia Njema
210 masomo
- 2730 Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema wakati wa matatizo: "Laa ilaaha illa llaahul a'... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5280 Atakapopiga mwayo mmoja wenu basi na ashike mkono wake juu ya kinywa chake, kwani Shetani huingia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2589 Hivi mnajua ni nini kusengenya?", Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndio wajuzi, akasema: "Ni kumsema ndu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2563 Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5333 Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2963 Mtazameni aliyeko chini yenu, na wala msimtazame aliyeko juu yenu, kwa kufanya hilo, hilo litakufanyeni msidha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5346 Kila wema ni sadaka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2167 Msiwaanze Mayahudi wala wakristo kwa salam, mkikutana na mmoja wao njiani basi mbaneni mpaka adhikike Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2626 Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2609 Mtu hawi na nguvu kwa kupigana miereka, bali mwenye nguvu ni yule anayeimiliki nafsi yake wakati wa hasira Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1893 Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2560 Ni haramu kwa mtu kumhama ndugu yake zaidi ya siku tatu, wanakutana, huyu akampuuza huyu na huyu naye akampuuz... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5367 Haingii peponi mkata udugu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5368 Haingii peponi mfitinishaji Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2085 Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2557 Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 482 Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 47 Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2319 Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 483 Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema katika sijida yake: "Ewe Mwenyezi Mungu nisameh... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5474 Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2137 Maneno yanayopendeka zaidi kwa Allah ni manne: Sub-haanallah, Al-hamdulillaah, na Laa ilaaha illa llaah, na Al... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5478 Haya ni katika imani Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2720 Ewe Mwenyezi Mungu nitengenezee dini yangu ambayo ndiyo kinga ya jambo langu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2719 Ewe Mola wangu Mlezi nisamehe mimi makosa yangu, na ujinga wangu, na ubadhirifu wangu katika jambo langu lote,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2739 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najikinga kwako kutokana na kuondokewa neema zako, na kubadilika kwa afya yako,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2598 Hakika watoa laana hawatokuwa mashahidi wala watetezi siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2865 Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuweni wanyenyevu, mpaka asijikweze yeyote kwa mwingine, n... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5502 Ilikuwa Dua aiombayo zaidi Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-:ni "Ewe Mola wetu Mlezi, tupe duniani mazur... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2607 Kutoka kwa Abdillah bin Mas'udi -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -rehema na aman... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5507 Maneno mawili mepesi mno katika ulimi, ni mazito mno katika mizani, yanapendeka mno kwa Al-Rahmani (Mwingi wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2726 Hakika ungesema maneno manne, mara tatu, kama ungeyapima kwa uliyo yasema toka siku ya leo yangeyazidi uzito Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2691 Atakayesema: Sub-haanallahi wabihamdihi, (Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema ni zake) kwa siku mara mia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5517 Atakayesema: Laa ilaaha illa llaahu wahdahu Laa shariika lahu, Lahul-Mulku walahul hamdu Wahuwa a'laa kulli sh... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5518 Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2965 Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2578 Ogopeni dhulma, kwa hakika dhulma ni giza siku ya kiyama. Na ogopeni tamaa, kwa hakika tamaa iliwaangamiza wal... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2594 Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2593 Ewe Aisha, hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole anapenda upole, na hutoa malipo katika upole ambayo hayatoi katika u... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2734 Hakika Allah humridhia mja anapokula chakula akamshukuru juu ya chakula hicho, au akanywa kinywaji chochote ak... Wema, Uadilifu na Tabia Njema