Kozi
Sahih Muslim
Maadili, Adabu na Tabia Njema
210 masomo
- 2631 Atakaye walea mabinti wawili mpaka wakafikia utu uzima atakuja siku ya Kiyama mimi na yeye (Namna hii)" Na aka... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 54 Hamtoingia peponi mpaka muamini, na hamtoamini mpaka mpendane, je nisikufahamisheni juu ya jambo ambalo mkilif... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3365 Ni amali ipi inayopendeka zaidi kwa Mwenyezi Mungu? Akasema: "Ni swala kwa wakati wake", Akasema: Kisha ipi? A... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2844 Hili ni jiwe lililotupwa Motoni muda wa (miaka) sabini iliyopita, na sasa linaanguka Motoni mpaka litafika kat... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2021 Amesimulia kuwa mtu mmoja alikula chakula kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake kwa mkono wake wa kushoto, a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3415 Ni nani anayejiapiza kwangu kuwa sitomsamehe fulani? Hakika mimi nimemsamehe,na nimeyaporomosha matendo yako Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3445 Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupata binadamu wa mwanzo fungu (la dhambi) kutoka katika d... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 121 Hivi hukujua kuwa uislamu hufuta madhambi yaliyokuwa kabla yake, na kuwa kuhama kunafuta madhambi yaliyokuwa k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3479 Hakika mja anaweza kuzungumza neno asilijali ndani yake akateleza kwa neno hilo nakuingia katika moto ambao um... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 251 Je! nikujulisheni mambo ambayo yakifanyika Allah hufuta madhambi na hupandisha daraja kwa mambo hayo? Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3578 Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3586 Ndoto njema hutoka kwa Mwenyezi Mungu, na ndoto mbaya hutoka kwa Shetani, atakapoota mmoja wenu ndoto mbaya an... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 233 Swala tano, na ijumaa mpaka ijumaa, na Ramadhani hadi Ramadhani, hufuta madhambi yaliyo kati yake, ikiwa mtu a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 14 Nijulishe juu ya amali ambayo nikiifanya nitaingia peponi. Akasema: "Umuabudu Mwenyezi Mungu na wala usimshiri... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3701 Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, hata mwiba unaomchoma... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3703 Ewe Hakim, hakika mali hii ni kijani kibichi kitamu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3706 Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, n... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2551 Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), at... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2676 Wamepata ushindi wenye kujitenga Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1562 Kulikuwa na mtu akiwakopesha watu,basi alikuwa akisema kumwambia kijana wake (Akienda kudai): Ukifika kwa mwen... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3756 Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1805 Ewe Mwenyezi Mungu hakuna maisha bora isipokuwa maisha ya Akhera, basi wasamehe Maanswari (watu wa Madina) na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3850 Lau kama ningekuwa na dhahabu kubwa mfano wa mlima Uhudi, basi ningependa zisipite siku tatu nikiwa namiliki c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3916 Hainifurahishi mimi kumiliki dhahabu mfano wa mlima huu wa Uhudi, zikapita siku tatu nikawa hata na dinari moj... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4177 Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake, ni mfano wa aliyehai na aliyekufa Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4180 Hakika mimi ninakuhofieni baada yangu, yale mtakayofunguliwa juu yenu katika maua ya dunia na pambo lake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4182 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani mwenye haki zaidi ya kumfanyia wema wa karibu? akasema: mama yako, kisha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1027 Atakayetoa vitu vya namna mbili katika njia ya Mwenyezi Mungu huitwa katika milango ya pepo, ewe mja wa Mwenye... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2282 Mfano wa yale aliyonituma nayo Mwenyezi Mungu miongoni mwa uongofu na elimu ni sawa na mfano wa mvua kubwa ili... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4243 Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4244 Hivi leo hii nyinyi si mnapata chakula na kinywaji mkitakacho? Kwa hakika mimi nilimuona Nabii wenu rehema na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4304 Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2553 Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile litakalokukereketa katika kifua chako, na ukachukia watu wasilione Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1907 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 45 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2758 Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1827 Hakika waadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika mimbari za nuru, kuliani mwa Allah Mtukufu, na mikono... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2592 Mwenye kunyimwa upole basi kanyimwa kheri yote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1048 Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2948 Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji ni kama kuhama kuja kwangu Wema, Uadilifu na Tabia Njema