Kozi
Sahih Muslim

Maadili, Adabu na Tabia Njema

210 masomo

  1. HE-5803 Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. 39 Ya kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani zimfikie: Ni Uislamu upi bora? Akasema: "Ni, ulishe chaku... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. 1054 Hakika amefaulu aliye jisalimisha, na akaruzukiwa kujizuia na kuombaomba, na Allah akamkinaisha kwa kile alich... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. HE-5830 Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. HE-5866 Fanyeni mambo kuwa mepesi na wala msiyafanye kuwa magumu, na wapeni watu bishara njema na wala msiwakimbize Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. 2722 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najikinga kwako kutokana na kushindwa, na uvivu, na uoga, na ubahili, na ukongw... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. 2725 Sema: Ewe Mwenyezi Mungu niongoze na unisimamie, na kumbuka kwa uongofu ni kuongoka kwako njia, na kusimamiwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. 2708 Atakayeshuka mahali akasema: Audhubikalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaqa (Najilinda kwa maneno ya... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. HE-5936 Kiapo hutoa bidhaa, na hufuta faida Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  10. HE-5953 Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  11. HE-5978 Asiseme mmoja wenu: Ewe Mwenyzi Mungu nisamehe ukitaka, nirehemu ukitaka, niruzukua ukitaka, na adhamirie maom... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  12. HE-6076 Je, nisikujulisheni kitu bora zaidi kuliko hicho mlichoomba? Mtakapokwenda kulala basi msabihini Mwenyezi Mung... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  13. 2696 Sema: Hapana Mola isipokuwa Mwenyezi Mungu yeye pekee asiyekuwa na mshirika, Mwenyezi Mungu mkubwa mno, na kil... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  14. 2695 Kusema kwangu: Sub-haanallaah, na Alhamdulillaah, na Laa ilaaha illa llaah, na Allaahu Akbaru, kunapendeka san... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  15. 2655 Hakika nyoyo za wanadamu zote ziko baina ya vidole viwili miongoni mwa vidole vya Rahmaan (Mwingi wa rehema),... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  16. HE-6379 Atakaye apa akasema katika kiapo chake: Na apa kwa Lata na uzza, basi aseme: Hapana apasaye kuabudiwa kwa haki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  17. 1914 Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi la miba likiwa njiani akaliondosha, Allah akamshukuru... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  18. 2837 Atanadi mwenye kunadi: "Hakika, mtapata afya nzuri na wala hamtougua milele. Na hakika, mtakuwa hai na wala ha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  19. 181 Wakati wakazi wa Peponi watakapoingia Peponi, Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka, atasema: "Je, mnataka... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  20. 2838 Hakika muumini peponi atakuwa na Hema moja la madini ya lulu lililo wazi urefu wake kwenda juu ni maili sitini... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  21. 7138 Hakika ndani ya Pepo kuna mti ambao anatembea aliyepanda kipando madhubuti chenye uimara na kasi kubwa ya kuki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  22. 2833 Hakika Peponi kuna Soko, watakuwa wakienda hapo kila siku ya Ijumaa Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  23. 2812 Hakika shetani alishakata tamaa kuabudiwa na wenye kuswali katika kisiwa cha Arab, Lakini yuko katika kuwachoc... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  24. 2613 Hakika Mwenyezi Mungu huwaadhibu wale wanaowaadhibu watu duniani Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  25. 2159 Nilimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu kutazama ghafla, akaniamrisha nigeuze jicho langu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  26. 2128 Aina mbili za watu ni miongoni mwa watu wa motoni, sijawaona (katika zama zake Mtume), watu walio na mijeledi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  27. 338 Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  28. HE-10404 Amesema Allah Aliyetakasika na kutukuka: Nimewaandalia waja wangu wema, vitu ambavyo jicho halijawahi kuona, w... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  29. HE-58120 Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  30. 2020 Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa kulia, na atakapo kunywa basi na anywe kwa mkono wake wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  31. 802 Je anapenda mmoja wenu pindi atakaporudi kwa mke wake apate Ngamia watatu wenye mimba na walio nenepa? Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  32. 2665 Ikiwa utawaona wenye kufuata Aya zenye kutatiza basi hao ndiyo ambao Mwenyezi Mungu amewataja katika aya Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  33. 385 Atakapo sema Muadhini: Allahu Akbaru Allahu Akbaru, kisha akasema mmoja wenu: Allahu Akbaru Allahu Akbaru Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  34. 713 Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi aseme: Allaahummaf-tah lii abwaaba rahmatika (Ewe Mola wangu, nifunguli... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  35. 437 Lau wangejua watu waliyomo katika Adhana na safu ya kwanza, kisha wasipate nafasi ila kwa kupiga kura ili kuya... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  36. HE-65783 Achaneni (na ubaguzi) kwani una nuka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  37. HE-65815 Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo mmoja utakuwa ni tend... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  38. HE-65816 Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake tangu al... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  39. HE-65820 Lilikuwa tandiko la Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni kutokana na ngozi, na ndani limejazwa majani ya mit... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  40. 2691 Atakayesema: (Laa ilaaha illa llahu, wah-dahu laa sharika lahu, Lahul mulku, Walahul hamdu, Wahuwa alaa kulli... Wema, Uadilifu na Tabia Njema