Kozi
Sahih al-Bukhari

Aqidah na Misingi ya Imani

141 masomo

  1. HE-66513 Hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake ndani ya tumbo la mama yake siku arobaini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  2. HE-66514 Yeyote atakayezua (kitu) katika jambo letu hili (dini) ambalo si miongoni mwake, basi hilo litakataliwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  3. HE-66517 Yale niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi fanyeni katika hayo kadiri muwezavyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  4. HE-66533 Hakika Mwenyezi Mungu aliandika mema na maovu, kisha akalibainisha hilo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  5. 6502 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu alisema: Atakayemfanyia uadui kipenzi changu basi hakika nimemtangazia vita, na... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  6. 435 Laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya Mayahudi na Maswara, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa ni Misikiti Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  7. HE-3354 Hakika Mwenyezi Mungu hupata wivu, na hakika muumini hupata wivu, na wivu wa Mwenyezi Mungu ni pale muumini an... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  8. 1496 Hakika wewe utaiendea jamii ya watu wa kitabu (Mayahudi na Wakristo), utakapowajia basi waite kushuhudia kuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  9. 3445 Msichupe mipaka katika kunisifu, kama walivyochupa mipaka Wakristo kwa mwana wa Mariam; Bila shaka, mimi ni mj... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  10. 99 Mtu atakayepata furaha zaidi ya uombezi wangu siku ya Kiyama, ni yule atakayesema Laa ilaaha illa llah (Hapana... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  11. 4497 Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  12. HE-3421 Katika kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:- "Na wakasema msiwaache waungu wenu, wala msimuache Wadda, wala Suwa'u... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  13. 5645 Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  14. 6491 Hakika Mwenyezi Mungu amepanga mema na mabaya, kisha akalibainisha hilo, atakayekusudia kufanya jema akawa hak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  15. HE-4792 Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  16. 7280 Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  17. 4477 Nilimuuliza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: Ni dhambi ipi kubwa zaidi mbele ya Allah? Akasema: "Ni wewe... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  18. 6077 Ni haramu kwa mtu kumhama ndugu yake zaidi ya siku tatu, wanakutana, huyu akampuuza huyu na huyu naye akampuuz... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  19. 335 Nimepewa mambo matano ambavyo hakupewa mtu mwingine miongoni mwa Manabii kabla yangu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  20. 1314 Likiwekwa Jeneza, na wanaume wakalibeba katika shingo zao, likiwa ni la mtu mwema basi husema: Niwahisheni, Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  21. 4918 Hivi nisikuelezeni watu wa peponi? Kila mnyonge mwenye kujishusha, na lau kama angeliapia kwa Mwenyezi Mungu b... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  22. 4729 Hakika atakuja mtu mnene tena mkubwa siku ya kiyama akiwa halingani mbele ya Mwenyezi Mungu hata na uzito wa b... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  23. 4699 Muislamu atakapoulizwa kaburini anashuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mun... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  24. 25 Nimeamrishwa nipambane na watu mpaka washuhudie kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  25. 3097 Alifariki Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- hali yakuwa hakuna chochote nyumbani kwake anachoweza kukila m... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  26. 4019 Usimuue, kwani ukimuuua basi yeye atakuwa katika nafasi yako kabla hujamuua, na wewe utakuwa katika nafasi yak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  27. 1296 hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alijitenga mbali na mpiga mayowe, na mnyoa nywele, na mchana nguo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  28. HE-2945 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  29. HE-2962 La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  30. 6874 Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  31. 218 Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo,... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  32. 1597 Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na ama... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  33. 3688 Yakuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu Kiyama, akasema: Lini Kiyama? Akasema:... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  34. 3338 Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni ch... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  35. 3346 “Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shar... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  36. 5652 Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  37. 435 Laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya Mayahudi na Maswara, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa ni Misikiti Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  38. HE-3334 Kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Msimfanyie Mwenyezi Mungu washirika na hali nyinyi mnajua, Amesema bin Abbas... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  39. HE-3353 kuapa kwangu kwa jina la Mwenyezi Mungu kwa uongo napenda zaidi kuliko kuapa kwa jina la asiyekuwa Mwenyezi Mu... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  40. HE-3354 Hakika Mwenyezi Mungu hupata wivu, na hakika muumini hupata wivu, na wivu wa Mwenyezi Mungu ni pale muumini an... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu