Kozi
Sahih al-Bukhari

Aqidah na Misingi ya Imani

141 masomo

  1. HE-3355 “Hakika mtafuata njia za walio kuwa kabla yenu, hatua kwa hatua, na dhiraa kwa dhiraa, Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  2. HE-3366 Hakika swala nzito zaidi kwa wanafiki ni swala ya Ishaa na swala ya Alfajiri, na lau kama wangejua (malipo) ya... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  3. HE-3376 Ni nini kinachowaogopesha hawa? wanapatwa na ulaini (wanazikubali) katika aya zilizo wazi, na wanaangamia kati... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  4. 1496 Hakika wewe utaiendea jamii ya watu wa kitabu (Mayahudi na Wakristo), utakapowajia basi waite kushuhudia kuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  5. HE-3393 Nyanyua kichwa chako na sema yasikilizwe, na omba upewe, na taka utetezi utetewe Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  6. 3445 Msichupe mipaka katika kunisifu, kama walivyochupa mipaka Wakristo kwa mwana wa Mariam; Bila shaka, mimi ni mj... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  7. 5707 Hakuna kuambukizana, wala mikosi ya ndege, wala mkosi wa Bundi, wala mkosi wa Kipanga (Jamii ya ndege). Na mki... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  8. HE-3408 Hauondoi uchawi ila mchawi Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  9. HE-3413 Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani) katika Arshi isipokuwa ni kama bangili la chuma lililow... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  10. 99 Mtu atakayepata furaha zaidi ya uombezi wangu siku ya Kiyama, ni yule atakayesema Laa ilaaha illa llah (Hapana... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  11. 3435 , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  12. 4497 Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  13. HE-3421 Katika kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:- "Na wakasema msiwaache waungu wenu, wala msimuache Wadda, wala Suwa'u... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  14. 5776 Hakuna kuambukizana maradhi, wala kutuhumu mikosi kwa sababu ya ndege, na kinachonipendeza zaidi ni kujipa mat... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  15. 3783 Kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake Alisema kuhusu maanswari (watu wa Madina): Hawampendi ila mtu... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  16. HE-3469 Fanyeni matendo na muwe na msimamo, na tambueni kuwa hatosalimika mmoja wenu kwa sababu ya matendo yake, wakas... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  17. 2790 Hakika peponi kuna daraja mia moja kaziandaa Mwenyezi Mungu kwaajili ya wenye kupigana katika njia ya Mwenyezi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  18. HE-3636 Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  19. 46 Kafaulu ikiwa atakuwa mkweli Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  20. 1403 Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  21. HE-4216 Hakika Mwenyezi Mungu ameniondolea mimi kwa umma wangu (madhambi ya) kukosea na kusahau, na yale waliyolazimis... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  22. HE-4242 Atasogezwa muumini siku ya Kiyama karibu na Mola wake Mlezi Aliyetakasika na Kutukuka, kisha atamuwekea pazia... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  23. 7288 Niacheni na vile nilivyo kuachieni, hakika waliangamia waliokuwa kabla yenu kwa sababu ya maswali mengi na kuw... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  24. 6491 Hakika Mwenyezi Mungu amepanga mema na mabaya, kisha akalibainisha hilo, atakayekusudia kufanya jema akawa hak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  25. HE-4792 Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  26. 7280 Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  27. HE-4969 Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana kwao na kufanyiana kwao upole, ni kama mfano wa kiwiliwi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  28. 4477 Nilimuuliza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: Ni dhambi ipi kubwa zaidi mbele ya Allah? Akasema: "Ni wewe... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  29. 1390 Amewalaani Mwenyezi Mungu Mayahudi na Wakristo, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa mahali pa kusalia Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  30. 1294 Si miongoni mwetu atakayepiga mashavu, na akachana mifuko, na akaomboleza kwa maombolezo ya watu wa zama za uj... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  31. 2449 Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshima au chochote, basi na wamalizane leo hii, kabla ya wak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  32. HE-5460 Watafufuliwa watu siku ya Kiyama wakiwa peku, uchi, hawajatahiriwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  33. 554 Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  34. 4686 Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  35. HE-5931 Watu wenye adhabu kali zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama, ni wale wenye kutengeneza mfano wa vile a... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  36. HE-5981 Si miongoni mwetu atakayetafuta kujua habari za mikosi au akafanyiwa, au akafanya ukuhani au akafanyiwa, au ak... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  37. HE-6049 Madhambi makubwa kuliko yote: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kujiaminisha na adhabu za Mwenyezi Mungu, na... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  38. 4974 kanipinga mwanadamu na hakustahiki kufanya hivyo, na amenitukana na hakustahiki kufanya hivyo Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  39. 6502 Atakayemfanyia uadui kipenzi changu basi nitakuwa nimemtangazia vita, na hatojiweka karibu kwangu mja kwa kitu... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
  40. HE-6468 Imani ni zaidi ya vitengo sabini au zaidi ya sitini, bora yake ni kauli ya Laa ilaaha illa llaah, na ya chini... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu