Kozi
Sahih Muslim
Maadili, Adabu na Tabia Njema
210 masomo
- HE-66518 Enyi watu! Hakika Mwenyezi Mungu ni mzuri hakubali ila vizuri, na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66521 Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66524 Nieleze ndani ya Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote zaidi yako, akasema: "Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mung... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 223 Twahara ni nusu ya imani, na kusema Al-hamdulillah neno hilo hujaza mizani, na neno Sub-hanallah neno Alhamdul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2985 Mimi nimetosheka (sihitaji) washirika kushirikishwa nao, yeyote mwenye kufanya jambo akashirikisha ndani yake... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 93 Atakayekutana na Mwenyezi Mungu akiwa hamshirikishi na chochote basi ataingia Peponi, na atakayekutana naye ak... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 233 Swala tano, na ijumaa mpaka ijumaa, na Ramadhani hadi Ramadhani, hufuta madhambi yaliyo kati yake, ikiwa mtu a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1955 Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4555 Hakika Mwenyezi Mungu hatazami sura zenu na mali zenu, lakini anatazama katika nyoyo zenu na matendo yenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1827 Hakika waadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika mimbari za nuru, kuliani mwa Allah Mtukufu, na mikono... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2592 Mwenye kunyimwa upole basi kanyimwa kheri yote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2589 Hivi mnajua ni nini kusengenya?", Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndio wajuzi, akasema: "Ni kumsema ndu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2626 Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1893 Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 482 Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2137 Maneno yanayopendeka zaidi kwa Allah ni manne: Sub-haanallah, Al-hamdulillaah, na Laa ilaaha illa llaah, na Al... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2965 Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2594 Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2734 Hakika Allah humridhia mja anapokula chakula akamshukuru juu ya chakula hicho, au akanywa kinywaji chochote ak... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2708 Atakayeshuka mahali akasema: Audhubikalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaqa (Najilinda kwa maneno ya... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2695 Kusema kwangu: Sub-haanallaah, na Alhamdulillaah, na Laa ilaaha illa llaah, na Allaahu Akbaru, kunapendeka san... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2020 Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa kulia, na atakapo kunywa basi na anywe kwa mkono wake wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65004 Twahara ni nusu ya imani, na kusema Al-hamdulillah neno hilo hujaza mizani, na neno Sub-hanallah neno Alhamdul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65008 Yeyote atakaye kufa hali ya kuwa hamshirikishi Mwenyezi Mungu na kitu chochote ataingia peponi, na atakaye kuf... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 385 Atakapo sema Muadhini: Allahu Akbaru Allahu Akbaru, kisha akasema mmoja wenu: Allahu Akbaru Allahu Akbaru Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2999 Ajabu iliyoje ya jambo la muumini, hakika jambo lake lote ni kheri, na hakuna hilo kwa yeyote ila kwa muumini, Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2631 Atakaye walea mabinti wawili mpaka wakafikia utu uzima atakuja siku ya Kiyama mimi na yeye (Namna hii)" Na aka... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 54 Hamtoingia peponi mpaka muamini, na hamtoamini mpaka mpendane, je nisikufahamisheni juu ya jambo ambalo mkilif... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2844 Hili ni jiwe lililotupwa Motoni muda wa (miaka) sabini iliyopita, na sasa linaanguka Motoni mpaka litafika kat... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2021 Amesimulia kuwa mtu mmoja alikula chakula kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake kwa mkono wake wa kushoto, a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3415 Ni nani anayejiapiza kwangu kuwa sitomsamehe fulani? Hakika mimi nimemsamehe,na nimeyaporomosha matendo yako Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 121 Hivi hukujua kuwa uislamu hufuta madhambi yaliyokuwa kabla yake, na kuwa kuhama kunafuta madhambi yaliyokuwa k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 251 Je! nikujulisheni mambo ambayo yakifanyika Allah hufuta madhambi na hupandisha daraja kwa mambo hayo? Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2551 Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), kisha Ameangukia pua (kapata hasara), at... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2676 Wamepata ushindi wenye kujitenga Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2017 Hakika Shetani hukihalalisha chakula kwa kutotajwa jina la Mwenyezi Mungu katika chakula hicho Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2956 Dunia ni Gereza la Muumini na ni Pepo ya Kafiri Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2721 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba uongofu na uchamungu na kujizuia na machafu nakuwa ni mwenye kutosheka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2622 Huenda mwenye nywele timtimu mwenye kusukumwa katika milango, lau angeliapia kwa Mwenyezi Mungu angelimuepusha Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2698 Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu moja? Wema, Uadilifu na Tabia Njema