Kozi
Sahih Muslim

Maadili, Adabu na Tabia Njema

210 masomo

  1. 2877 Asife mmoja wenu isipokuwa afe katika hali ya kumdhania vizuri Mwenyezi Mungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. 2558 Ikiwa kama utakuwa kama ulivyosema, basi ni kana kwamba unawalisha majivu ya moto (dhambi wanazozipata ni kama... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. 2858 Si chochote dunia katika Akhera isipokuwa ni kama mfano wa mmoja wenu anapoweka kidole chake baharini, kisha a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. 2266 Atakayeniona mimi ndotoni basi ataniona akiwa macho -au ni kana kwamba kaniona akiwa macho- hajifananishi shet... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. 1884 Ewe baba Saidi, yeyote atakayeridhia kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Mola, na Uislamu kuwa ndiyo dini, na Muhammadi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. 213 Hakika mtu mwenye adhabu nafuu katika watu wa motoni ni yule atakayekuwa na viatu viwili na soli mbili vitokan... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. 2960 Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yake na matendo yake, vinarudi vitu viwili na kinabakia ki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. 6989 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ananyoosha mkono wake wakati wa usiku ili amsamehe mkosefu wa mchana, na ananyoo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. 1339 Si halali kwa mwanamke wa kiislamu kusafiri mwendo wa usiku mmoja, isipokuwa awe pamoja na mwanaume mwenye uha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  10. 2564 Msihusudiane, na wala msipandishiane bei, na wala msichukiane, na wala msitengane, na wala wasiuze baadhi yenu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  11. 2699 Atakayemtatulia muumini tatizo moja katika matatizo ya dunia, Mwenyezi Mungu atamtatulia yeye tatizo katika ma... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  12. 2702 Enyi watu, tubieni kwa Mwenyezi Mungu, kwani mimi ninatubia kwa siku mara mia moja Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  13. 2359 Nilionyeshwa Pepo na Moto, katu sijawahi kuona katika kheri na shari mfano wa siku hiyo, na lau mngejua ninayo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  14. 1735 Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila ha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  15. HE-2941 Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  16. 2066 Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  17. HE-2967 Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  18. HE-2981 Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mk... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  19. HE-2985 “Msivae hariri wala dibaji (Sufi) wala msinywe katika vyombo vya dhahabu au vya fedha, wala msile katika vyomb... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  20. HE-2986 Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  21. 2701 Ama mimi sikukuapisheni kwa sababu ya kuwatuhumu, lakini Jibril alinijia na kuniambia kuwa Mwenyezi Mungu Mtuk... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  22. HE-3014 Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  23. HE-3021 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoj... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  24. 271 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  25. 2018 Anapoingia mtu nyumbani kwake akamtaja Mwenyezi Mungu wakati wa kuingia kwake na wakati wa chakula chake, Shet... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  26. HE-3055 "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri" Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  27. 2717 Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimej... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  28. 267 Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  29. 2628 “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  30. 2630 Hakika Mwenyezi Mungu amemuwajibishia pepo kwa kile alichokifanya, au amemuacha huru na moto kwa kile alicho k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  31. HE-3135 Mwenye kwenda upesi kuwasaidia wajane na maskini ni kama mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu, au mwe... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  32. 1909 Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahidi) kwa dhati, basi atamfikisha daraja ya mashahidi hata... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  33. 7512 Msiziombee mabaya nafsi zenu,wala msiwaombee vibaya watoto wenu,wala msiziombee vibaya mali zenu,nakhofia dua... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  34. HE-3232 Hujibiwa mmoja wenu anapokuwa hajafanya haraka: anasema: Nimemuomba Mola wangu, na wala sijaona ananijibu mimi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  35. HE-3260 Hebu rudi kwa wazazi wako, na ukaishi nao vizuri Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  36. 994 Dinari bora anayoitoa mtu: ni Dinari anayoitoa kwa familia yake, na dinari anayoitoa mtu kwa mnyama wake katik... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  37. 2999 Ajabu iliyoje ya jambo la muumini, hakika jambo lake lote ni kheri, na hakuna hilo kwa yeyote ila kwa muumini, Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  38. 89 Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  39. 2989 Ataletwa mtu siku ya Kiyama, kisha atupwe motoni, ujiviringishe utumbo na vyote vilivyomo tumboni mwake, atazu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  40. HE-3358 Atakayesimamia chochote kwa watoto wa kike hawa, akawatendea wema, basi watakuwa ni kinga kwake kutokana na mo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema