Kozi
Sahih al-Bukhari
Bukhari — bado haijapangwa (ya muda)
84 masomo
- 1258 Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwis... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2753 Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.” Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 2044 Alikuwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake akikaa itikafu katika kila ramadhani siku kumi, ulipofikia mwaka a... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1521 Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku ali... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1520 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tunaiona Jihadi kuwa ni amali bora zaidi, basi je tupigane? Akasema: "Hapana, la... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2936 Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila ha... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 2654 Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2944 Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2945 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3014 Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2956 Nilimuendea Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Nikasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Hakika sisi tuko kat... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2960 Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahil... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6718 Wallahi – akipenda Mwenyezi Mungu - sitokula kiapo cha jambo fulani isipokuwa ninapoona kilichobora zaidi basi... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2962 La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6789 Mkono unakatwa kwa robo Dinari na kuendelea Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2965 Chukua katika mali yake kwa wema, kiasi kinachokutosha wewe na wanao Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 2892 Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 123 “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5565 Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 2416 Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi M... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3463 Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mk... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 2488 Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5426 “Msivae hariri wala dibaji (Sufi) wala msinywe katika vyombo vya dhahabu au vya fedha, wala msile katika vyomb... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5833 Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2987 Hapigwi mtu zaidi ya viboko kumi isipokuwa kama itakuwa katika kutelekeza sheria miongoni mwa sharia za Mwenye... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2990 Sijawahi kumuona mwenye nywele ndefu na vazi jekundu zuri kuliko Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2994 Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo yake kila siku kiratu... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-2995 Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosem... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6874 Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 218 Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo,... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 611 Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 206 Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 168 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendezwa sana na kuanzia kulia, katika kuvaa kwake viatu, na ku... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3021 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoj... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1597 Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na ama... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 325 hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3030 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, c... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3031 Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 162 Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3713 Mchungeni(mfuatilieni) Muhammadi -Rehema na Amani ziwe juu yake- kwa watu wa nyumba yake Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)