Kozi
Sahih al-Bukhari
Bukhari — bado haijapangwa (ya muda)
84 masomo
- 6675 Madhambi makubwa: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kuwaasi wazazi wawili, na kuuwa nafsi, na kiapo cha uong... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3055 "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri" Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3056 Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimej... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6092 Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kilimi ndani ya mdomo wa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3061 Tulimpa ahadi ya utiifu Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- juu ya kusikia na kutii katika uzito na wepesi,... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1180 Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 245 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3064 Paliletwa mashtaka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuhusu mtu anayepata wasiwasi kuwa anapata kitu n... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5465 Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3075 Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndog... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 283 Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 394 “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.” Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3079 Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au k... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3081 Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 691 Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akif... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3688 Yakuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu Kiyama, akasema: Lini Kiyama? Akasema:... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 735 Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3096 Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja chan... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3103 Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wami... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3104 Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3107 Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1315 Fanyeni haraka kulipeleka jeneza, likiwa ni la mtu mwema, basi mnaliwahisha kupata kheri, na likiwa kinyume na... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3338 Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni ch... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 822 Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 386 Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? aka... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3127 “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5353 Mwenye kwenda upesi kuwasaidia wajane na maskini ni kama mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu, au mwe... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 172 Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5891 Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha n... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3346 “Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shar... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 142 Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khu... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6102 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na haya zaidi kuliko hata bikira ndani ya chumba chake, basi anapo... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 7 Muabuduni Mwenyezi Mungu peke yake msimshirikishe yeye na chochote, na acheni wanayosema baba zenu, na anatuam... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 3603 Hakika utakuja kutokea uchoyo na kujipendelea baada yangu na mambo msiyoyajua (uzushi)" Wakasema: Ewe Mjumbe w... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 5652 Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 6424 Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Hana mja wangu muumini toka kwangu malipo yoyote pindi ninapomchukua kipenzi c... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 1014 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, mali zimeteketea na njia zote zimekatika, muombe Mwenyezi Mungu atuletee mvua Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- HE-3177 Yakwamba Nabii -Rehema na Amani ziwe juu yake- alikuwa safarini, akaswali swala ya ishaa ya mwisho, akasoma ka... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 757 Rudi kaswali, kwani wewe hujaswali Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
- 390 Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa anapo swali anatanua kati ya mikono yake mpaka unaoneka... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)