Kozi
Sahih al-Bukhari
Aqidah na Misingi ya Imani
141 masomo
- HE-6611 Hakuna mwenye kumiliki dhahabu wala fedha, na akawa hazitolei zaka zake, isipokuwa, pindi itakapofika siku ya... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 7512 Hakuna yeyote miongoni mwenu, isipokuwa ataongeleshwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama bila ya kuwapo na mkali... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3005 Kusibaki katika shingo la mnyama bangili za shaba au kengele isipokuwa (ahakikishe) zimekatwa Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 4351 Hivi hamna imani na mimi hali yakuwa mimi ni muaminiwa wa yule aliyeko mbinguni, zinanijia habari za mbingu as... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6557 “Mwenyezi Mungu Mtukufu atawaambia watu wa Motoni wenye adhabu nafuu zaidi siku ya Kiyama: Je, mngekuwa na kit... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6549 “Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na Kutukuka, atawaambia watu wa Peponi: Enyi watu wa Peponi? Watasema: Labeka t... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 4712 Mwenyezi Mungu atawakusanya watu wa mwanzo na mwisho katika udongo mmoja, atawasikilizisha mwenye kunadi, na a... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6045 Hatomtuhumu mtu mwenzake kwa machafu, na wala hatomtuhumu kwa ukafiri, isipokuwa hurejea kwake, ikiwa ndugu ya... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6213 Neno hilo huwa limetoka katika ukweli, Jini hulikwapua na kulinong'oneza katika sikio la kipenzi chake mfano w... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3322 Hawaingii Malaika nyumba ambayo ndani yake kuna mbwa au picha Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 5999 Basi Mwenyezi Mungu ana huruma zaidi kwa waja wake kuliko mwanamke huyu kwa mtoto wake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 128 Hakuna mtu yeyote atakayeshuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu nakuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 10 Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkono wake, na mhamaji n... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 1145 Anateremka Mola wetu Mlezi -Aliyetakasika na kutukuka- katika mbingu ya dunia pindi inapobakia theluthi ya mwi... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 614 Atakayesema wakati anasikia adhana: Allaahumma rabba haadhihid da'watit taamma, was swalaatul qaaima, aati Muh... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 434 Watu hao anapokufa kwao mja mwema, au mwanaume mwema, wanajenga juu ya kaburi lake mahala pakuabudia Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3673 Msiwatukane Maswahaba wangu, kwa sababu, lau kama yeyote kati yenu atatoa dhahabu sawa na (mlima) Uhud (katika... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 1379 Hakika mmoja wenu anapokufa huonyeshwa makao yake asubuhi na jioni Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 8 Umejengwa uislamu kwa mambo matano Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6921 Yeyote atakayefanya wema katika Uislamu basi hatoadhibiwa kwa yale aliyoyatenda katika zama za ujinga, na yeyo... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2856 Basi tambua kuwa haki za Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni wamuabudu yeye na wala wasimshirikishe na kitu chocho... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 846 "Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3276 Shetani humjia mmoja wenu na akamwambia: Ni nani aliumba kitu fulani? Mpaka anafikia kusema ni nani alimuumba... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 1436 Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-65020 Hakika Imani huoza na kudhoofika kwenye mwili wa mmoja wenu kama inavyooza nguo mpya kwa kukaa muda mrefu, ba... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 5231 Kwa hakika miongoni mwa alama za Kiyama ni kuondolewa elimu, na kuzidi ujinga, na kukithiri uzinifu, unywaji p... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 7115 Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2926 Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 2222 Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6506 Hakita simama Kiyama mpaka jua lichomoze kutoka upande wa Magharibi, na likichomoza na wakaliona watu wote wat... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 4812 Ataikamata Mwenyezi Mungu ardhi, na ataikunja mbingu kwa mkono wake wa kulia kisha atasema: Mimi ndiye Mfalme;... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6579 Birika langu ukubwa wake ni sawa na mwendo wa mwezi mzima, maji yake ni meupe kuliko maziwa, na harufu yake ni... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6593 Kwa hakika mimi nitakuwa kwenye Birika langu namtazama kila mwenye kuja kwangu kunywa, na kuna watu watafukuzw... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 4730 Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3265 Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 7454 Ametuhadithia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- naye ni mkweli mwenye kukubaliwa: "Kwa hakika mmoja wenu h... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 63 na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- HE-65045 Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitaja jambo fulani, akasema: "Jambo lenye kuogopesha litakuwa wakati i... Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 3851 Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu
- 6523 Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama? Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu