Kozi
Jami' at-Tirmidhiy

Maadili, Adabu na Tabia Njema

85 masomo

  1. 3462 Nilikutana na Ibrahimu usiku niliochukuliwa, Akasema: Ewe Muhammadi wafikishie umma wako salamu zangu, na uwae... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. HE-4191 Yeyote atakayetoka katika kutafuta elimu basi huyo yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu mpaka atakaporejea. Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. HE-4302 Mche Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ovu lifuatishe jema litalifuta, na ishi na watu kwa tabia njema Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. 3375 Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. HE-4721 Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku nde... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. 2380 Hajawahi kujaza mwanadamu yeyote chombo chenye shari zaidi kama tumbo, kinamtosha mwanadamu kiasi kidogo cha c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. 3591 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na tabia mbaya na matendo mabaya, na matamanio mabay... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. HE-5344 Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. 2002 Hakuna kitu chenye uzito zaidi katika mizani ya muumini siku ya Kiyama kuliko tabia njema, na hakika Mwenyezi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  10. 3546 Bahili ni yule ambaye nitatajwa mbele yake, akawa hakuniswalia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  11. 3458 Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha chakula hiki, na akanir... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  12. 2004 Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo yatakayowaingiza watu peponi kwa wingi, akasema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  13. 212 Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  14. HE-5490 Ewe Mwenyezi Mungu kwako tumeamka, na kwako tunashinda, na kwako tunakuwa hai, na kwako tutakufa, na kwako tut... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  15. 3247 Dua ndio ibada Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  16. HE-5499 Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuonea haya mja wake atakapo nyanyua mikono yake kumuelekeze... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  17. 3370 Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  18. 3380 Hawajawahi kukaa watu kikao chochote wakawa hawakumtaja Mwenyezi Mungu ndani yake, na wala hawakumsalia Nabii... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  19. 1931 Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  20. HE-5792 Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  21. 2018 Hakika katika watu wanaopendeka zaidi kati yenu kwangu mimi, na atakayekaa karibu zaidi kati yenu na mimi siku... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  22. 2346 Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika mwili wake, akiwa na amani katika mji wake, na anamiliki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  23. 3563 Sema: Allaahumma kfinii bihalaalika an haraamika, wa aghninii bifadhlika amman siwaaka". Tafsiri: Ewe Mwenyezi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  24. 2252 Msiutukane upepo, mkiona yanayo kuchukizeni katika upepo basi semeni: Ewe Allah tunaomba kheri za upepo huu na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  25. 3545 Amepata hasara mtu nitakayetajwa mbele yake na akawa hakunitakia rehema, na kapata hasara mtu ambaye itaingia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  26. 3575 Sema Yeye ni Mwenyezi Mungu mmoja tu" na sura mbili za kinga unapofika nyakati za jioni na nyakati za asubuhi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  27. HE-6093 Yeyote atakayesema: Bismillaahi lladhi laa yadhurru ma'asmihi shai un fil Ardhwi walaa fis samaai, wahuwas sam... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  28. 2685 Ubora wa msomi kwa mchamungu, ni kama ubora wangu mimi kwa aliyechini yenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  29. 3398 Ewe Mwenyezi Mungu nikinge na adhabu yako siku utakapowakusanya au kuwafufua waja wako Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  30. 2727 Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaachana Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  31. 2328 Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  32. 2657 Allah amng'arishe mtu aliyesikia kutoka kwangu chochote akakifikisha kama alivyo sikia, huenda mfikishiwa akaw... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  33. 2016 Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na maneno machafu wala mwenye kujilazimisha machafu, wala hakuwa na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  34. 2308 Hakika kaburi ndio kituo cha kwanza katika vituo vya Akhera, ikiwa mtu atasalimika nalo basi yajayo baada yake... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  35. HE-58188 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani nimfanyie wema zaidi? Akasema: "Mama yako, kisha mama yako kis... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  36. HE-65049 Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  37. HE-65055 Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  38. 406 Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  39. 2317 Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  40. 994 Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katika nguo zenu bora, na wavisheni kwazo maiti wenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema