Kozi
Jami' at-Tirmidhiy
Maadili, Adabu na Tabia Njema
85 masomo
- HE-66535 Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2344 Laiti nyinyi mgetegemea kwa Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyowaruzuku ndege... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66541 Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3383 Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2647 Yeyote atakayetoka katika kutafuta elimu basi huyo yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu mpaka atakaporejea. Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1987 Mche Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ovu lifuatishe jema litalifuta, na ishi na watu kwa tabia njema Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4721 Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku nde... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5344 Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2004 Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo yatakayowaingiza watu peponi kwa wingi, akasema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3370 Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1931 Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6763 Mwenye kukitegemea kitu hufungamanishwa kwacho Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2639 Kwa hakika Mwenyezi Mungu atamchagua mtu mmoja katika umma wangu mbele ya mkusanyiko wa watu siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3514 Ewe Abbasi, ewe ami yake na Mjume wa Mwenyezi Mungu, muombe Mwenyezi Mungu afya katika Dunia na Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2399 Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini wa kike katika nafsi yake, na watoto wake, na mali yake... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 616 Mcheni na Allah Mola wenu Mlezi, na salini swala zenu tano, na fungeni mwezi wenu, na tekelezeni zaka zenu, na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3377 “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yatakayo kunyanyueni juu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2406 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na ikutoshe nyumba yako... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2320 Laiti Dunia ingelingana na ubawa wa mbu kwa thamani yake mbele ya Allah mtukufu basi kafiri asingekunywa fundo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1639 Macho ya aina mbili hautoyagusa moto: Jicho lililolia kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu, na jicho lililokesha likil... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2336 Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3464 Atakayesema: Sub-haanallaahi wabihamdi, (Ametakasika Mwenyezi Mungu Mtukufu na sifa njema ni zake) ataoteshewa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3514 Ewe Abbasi, ewe ami yake na Mjume wa Mwenyezi Mungu, muombe Mwenyezi Mungu afya katika Dunia na Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3017 Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2140 Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake akisema mara kwa mara: “Ewe Mbadilishaji nyoyo,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3173 Atakapofika mmoja wenu katika kikao basi na atoe salamu, na akitaka kunyanyuka pia atoe salamu, kwani ya mwanz... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3579 Mahala pa karibu zaidi anapokuwa Mola Mlezi na mja ni katikati ya usiku wa mwisho Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3317 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo yake juu ya kinywa c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3356 Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3504 Atakayesema: -Yaani: anapotoka nyumbani kwake-: Bismillaahi tawakkaltu a'la llaahi -kwa jina la Mwenyezi Mungu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 616 Mcheni na Allah Mola wenu Mlezi, na salini swala zenu tano, na fungeni mwezi wenu, na tekelezeni zaka zenu, na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3383 Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3377 “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yatakayo kunyanyueni juu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3587 Alikuja mtu mmoja kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akasema: Assalaam alaikum, akamjibu, kisha akakaa, a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2406 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na ikutoshe nyumba yako... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2320 Laiti Dunia ingelingana na ubawa wa mbu kwa thamani yake mbele ya Allah mtukufu basi kafiri asingekunywa fundo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3705 Hakika umesema neno ambalo lau lingechanganywa na maji ya Bahari basi (lingeyabadili rangi) kwa kuchanganyika... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1639 Macho ya aina mbili hautoyagusa moto: Jicho lililolia kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu, na jicho lililokesha likil... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3736 Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3788 Tambueni kuwa dunia imelaaniwa, na vimelaaniwa vilivyomo, isipokuwa kumtaja Mwenyezi Mungu na yanayompendeza,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema