Kozi
Sahih Muslim

Maadili, Adabu na Tabia Njema

210 masomo

  1. HE-66210 Nipeni ahadi ya utiifu ya kuwa msimshirikishe Mwenyezi Mungu na kitu chochote, na wala msiibe, na wala msizini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. 145 Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni kama ulivyo anza, basi shangwe kwa wale wanaoonekana kuwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. 1031 Watu wa aina saba atawapa kivuli Mwenyezi Mungu Mtukufu siku ambayo hapatokuwa na kivuli isipokuwa kivuli chak... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. 2246 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Ananiudhi mimi mwanadamu, anatukana nyakati na mimi ndiye nyakati, ninaugeuza... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. 2980 Msiingie miji ya wale waliozidhulumu nafsi zao, isipokuwa muwe mnalia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. 144 Hupitishwa fitina katika nyoyo (kama ufumwavyo mkeka) ukindu (kijiti) kimoja kimoja Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. HE-66511 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilolinuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. 1599 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. HE-66520 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  10. 223 Twahara ni nusu ya imani, na kusema Al-hamdulillah neno hilo hujaza mizani, na neno Sub-hanallah neno Alhamdul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema