Kozi
Sahih al-Bukhari
Maadili, Adabu na Tabia Njema
187 masomo
- 3713 Mchungeni(mfuatilieni) Muhammadi -Rehema na Amani ziwe juu yake- kwa watu wa nyumba yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6675 Madhambi makubwa: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kuwaasi wazazi wawili, na kuuwa nafsi, na kiapo cha uong... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3055 "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri" Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3056 Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimej... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3079 Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5534 “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5353 Mwenye kwenda upesi kuwasaidia wajane na maskini ni kama mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu, au mwe... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6424 Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Hana mja wangu muumini toka kwangu malipo yoyote pindi ninapomchukua kipenzi c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3232 Hujibiwa mmoja wenu anapokuwa hajafanya haraka: anasema: Nimemuomba Mola wangu, na wala sijaona ananijibu mimi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3260 Hebu rudi kwa wazazi wako, na ukaishi nao vizuri Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 7045 Atakapoota mmoja wenu ndoto anayoipenda basi ndoto hiyo inatoka kwa Mwenyezi Mungu, hivyo, amshukuru Mwenyezi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2766 Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3333 Je nisikuelezeni kwa kile ambacho ninakiogopea zaidi kwenu nyinyi kuliko hata masihi dajali? Wakasema: Tueleze... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3345 Ataletwa mtu siku ya Kiyama, kisha atupwe motoni, ujiviringishe utumbo na vyote vilivyomo tumboni mwake, atazu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 527 Ni amali ipi inayopendeka zaidi kwa Mwenyezi Mungu? Akasema: "Ni swala kwa wakati wake", Akasema: Kisha ipi? A... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3445 Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupata binadamu wa mwanzo fungu (la dhambi) kutoka katika d... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6474 Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbili na vilivyo kati ya miguu yake ninampa dhamana ya Pep... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3479 Hakika mja anaweza kuzungumza neno asilijali ndani yake akateleza kwa neno hilo nakuingia katika moto ambao um... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3282 Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6488 Pepo iko karibu mno kwa mmoja wenu kuliko umbali wa kanyagio la kiatu na kisigino chake, na moto pia hivyo hiv... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3292 Ndoto njema hutoka kwa Mwenyezi Mungu, na ndoto mbaya hutoka kwa Shetani, atakapoota mmoja wenu ndoto mbaya an... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1397 Nijulishe juu ya amali ambayo nikiifanya nitaingia peponi. Akasema: "Umuabudu Mwenyezi Mungu na wala usimshiri... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5641 Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, hata mwiba unaomchoma... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6487 Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1240 Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, n... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2076 Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3480 Kulikuwa na mtu akiwakopesha watu,basi alikuwa akisema kumwambia kijana wake (Akienda kudai): Ukifika kwa mwen... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6069 Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4177 Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake, ni mfano wa aliyehai na aliyekufa Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4182 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani mwenye haki zaidi ya kumfanyia wema wa karibu? akasema: mama yako, kisha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4192 Atakayeniona mimi ndotoni basi ataniona akiwa macho -au ni kana kwamba kaniona akiwa macho- hajifananishi shet... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4220 Hakika mtu mwenye adhabu nafuu katika watu wa motoni ni yule atakayekuwa na viatu viwili na soli mbili vitokan... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4240 Yanamfuata maiti mambo matatu: familia yake na mali yake na matendo yake, vinarudi vitu viwili na kinabakia ki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4243 Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 31 Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4521 Si halali kwa mwanamke wa kiislamu kusafiri mwendo wa usiku mmoja, isipokuwa awe pamoja na mwanaume mwenye uha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4560 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6116 Usikasirike Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 13 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4814 Nilionyeshwa Pepo na Moto, katu sijawahi kuona katika kheri na shari mfano wa siku hiyo, na lau mngejua ninayo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema