Kozi
Sahih al-Bukhari
Maadili, Adabu na Tabia Njema
187 masomo
- HE-4817 Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4963 Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6346 Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema wakati wa matatizo: "Laa ilaaha illa llaahul a'... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3118 Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6064 Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5333 Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5341 Mtazameni aliyeko chini yenu, na wala msimtazame aliyeko juu yenu, kwa kufanya hilo, hilo litakufanyeni msidha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6021 Kila wema ni sadaka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6114 Mtu hawi na nguvu kwa kupigana miereka, bali mwenye nguvu ni yule anayeimiliki nafsi yake wakati wa hasira Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1393 Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6077 Ni haramu kwa mtu kumhama ndugu yake zaidi ya siku tatu, wanakutana, huyu akampuuza huyu na huyu naye akampuuz... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5367 Haingii peponi mkata udugu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2391 Haingii peponi mfitinishaji Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5783 Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5986 Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6475 Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5439 Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6412 Neema mbili wamepoteza thamani yake watu wengi: Afya na wakati Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2457 Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5478 Haya ni katika imani Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6398 Ewe Mola wangu Mlezi nisamehe mimi makosa yangu, na ujinga wangu, na ubadhirifu wangu katika jambo langu lote,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6389 Ilikuwa Dua aiombayo zaidi Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-:ni "Ewe Mola wetu Mlezi, tupe duniani mazur... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6306 Bwana wa Istighfari (Dua ya kuomba msamaha) Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5504 Kutoka kwa Abdillah bin Mas'udi -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -rehema na aman... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6406 Maneno mawili mepesi mno katika ulimi, ni mazito mno katika mizani, yanapendeka mno kwa Al-Rahmani (Mwingi wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6405 Atakayesema: Sub-haanallahi wabihamdihi, (Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema ni zake) kwa siku mara mia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5517 Atakayesema: Laa ilaaha illa llaahu wahdahu Laa shariika lahu, Lahul-Mulku walahul hamdu Wahuwa a'laa kulli sh... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 71 Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 904 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3559 Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 12 Ya kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani zimfikie: Ni Uislamu upi bora? Akasema: "Ni, ulishe chaku... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5096 Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5866 Fanyeni mambo kuwa mepesi na wala msiyafanye kuwa magumu, na wapeni watu bishara njema na wala msiwakimbize Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2087 Kiapo hutoa bidhaa, na hufuta faida Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5952 Watu wa aina tatu hatowasemesha Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama wala hatowatakasa na watakuwa na adhabu chungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 15 Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5978 Asiseme mmoja wenu: Ewe Mwenyzi Mungu nisamehe ukitaka, nirehemu ukitaka, niruzukua ukitaka, na adhamirie maom... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5361 Je, nisikujulisheni kitu bora zaidi kuliko hicho mlichoomba? Mtakapokwenda kulala basi msabihini Mwenyezi Mung... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5373 Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwacheni huru mateka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4860 Atakaye apa akasema katika kiapo chake: Na apa kwa Lata na uzza, basi aseme: Hapana apasaye kuabudiwa kwa haki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema