Kozi
Sahih al-Bukhari
Maadili, Adabu na Tabia Njema
187 masomo
- 2856 Basi tambua kuwa haki za Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni wamuabudu yeye na wala wasimshirikishe na kitu chocho... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 7045 Atakapoota mmoja wenu ndoto anayoipenda basi ndoto hiyo inatoka kwa Mwenyezi Mungu, hivyo, amshukuru Mwenyezi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3333 Je nisikuelezeni kwa kile ambacho ninakiogopea zaidi kwenu nyinyi kuliko hata masihi dajali? Wakasema: Tueleze... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3345 Ataletwa mtu siku ya Kiyama, kisha atupwe motoni, ujiviringishe utumbo na vyote vilivyomo tumboni mwake, atazu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3346 Msilifanye kaburi langu kuwa sikukuu, wala nyumba zenu kuwa makaburi, na nitakieni rehma, kwani dua zenu hunif... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 527 Ni amali ipi inayopendeka zaidi kwa Mwenyezi Mungu? Akasema: "Ni swala kwa wakati wake", Akasema: Kisha ipi? A... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3396 Nilikuwa kwa Saidi bin Jubair akasema: Ni nani kati yenu aliyeiona nyota iliyodondoka jana usiku? Nikasema: Mi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5707 Hakuna kuambukizana, wala mikosi ya ndege, wala mkosi wa Bundi, wala mkosi wa Kipanga (Jamii ya ndege). Na mki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4210 Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako k... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 7321 Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupata binadamu wa mwanzo fungu (la dhambi) kutoka katika d... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6477 Hakika mja anaweza kuzungumza neno asilijali ndani yake akateleza kwa neno hilo nakuingia katika moto ambao um... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3282 Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3292 Ndoto njema hutoka kwa Mwenyezi Mungu, na ndoto mbaya hutoka kwa Shetani, atakapoota mmoja wenu ndoto mbaya an... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2790 Hakika peponi kuna daraja mia moja kaziandaa Mwenyezi Mungu kwaajili ya wenye kupigana katika njia ya Mwenyezi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3636 Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1397 Nijulishe juu ya amali ambayo nikiifanya nitaingia peponi. Akasema: "Umuabudu Mwenyezi Mungu na wala usimshiri... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1142 Anafunga shetani juu ya kisogo cha kichwa cha mmoja wenu, pindi anapolala, mafundo matatu, anafunga katika kil... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6069 Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5995 Atakayesimamia chochote kwa watoto wa kike hawa, akawatendea wema, basi watakuwa ni kinga kwake kutokana na mo... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2896 Hakuna msaada na riziki mnayopewa nyinyi isipokuwa ni kupitia kwa watu madhaifu wenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2750 Ewe Hakim, hakika mali hii ni kijani kibichi kitamu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6414 Ewe Mwenyezi Mungu hakuna maisha bora isipokuwa maisha ya Akhera, basi wasamehe Maanswari (watu wa Madina) na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6990 Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6445 Lau kama ningekuwa na dhahabu kubwa mfano wa mlima Uhudi, basi ningependa zisipite siku tatu nikiwa namiliki c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6444 Hainifurahishi mimi kumiliki dhahabu mfano wa mlima huu wa Uhudi, zikapita siku tatu nikawa hata na dinari moj... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1465 Hakika mimi ninakuhofieni baada yangu, yale mtakayofunguliwa juu yenu katika maua ya dunia na pambo lake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1897 Atakayetoa vitu vya namna mbili katika njia ya Mwenyezi Mungu huitwa katika milango ya pepo, ewe mja wa Mwenye... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 79 Mfano wa yale aliyonituma nayo Mwenyezi Mungu miongoni mwa uongofu na elimu ni sawa na mfano wa mvua kubwa ili... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6120 Hakika katika yale waliyoyakuta watu miongoni mwa maneno ya kiutume ya mwanzo, usipokuwa na haya basi fanya ul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6416 Kuwa duniani kama msafiri au mpitanjia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-2936 Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila ha... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2654 Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-2944 Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2892 Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3463 Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mk... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5426 “Msivae hariri wala dibaji (Sufi) wala msinywe katika vyombo vya dhahabu au vya fedha, wala msile katika vyomb... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5834 Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 206 Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3021 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoj... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3030 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema