Nyuma
Usingizi na Kuamka · HISN AL-MUSLIM

Dua ya Usingizi: Dua ya Kushtuka Kutoka Usingizini Usiku

لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ ال...

Usingizi na Kuamka Soma mara 1

لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ، وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ، الْحَمْدُ لِلَّهِ، وَسُبْحَانَ اللَّهِ، وَلَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ، وَاللَّهُ أَكْبَرُ، وَلَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللَّهِ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي.

"Laa ilaaha illallaahu wahdahoo laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamdu wa Huwa 'alaa kulli shay'in Qadeer, alhamdulillaah, wa subhaanallaah, wa laa ilaaha illallaah, wallaahu akbar, wa laa hawla wa laa quwwata illaa billaah, Allaahummagh-fir lee."

Hapana mola ila Allah Mmoja hana mshirika; ufalme ni Wake na sifa ni Zake Naye ni Muweza wa kila kitu; sifa njema ni za Allah, na ametakasika Allah, na hapana mola ila Allah, na Allah ni Mkubwa, na hakuna uwezo wala nguvu ila kwa Allah; Ewe Allah nighufirie.

None has the right to be worshipped except Allah alone, without partner... O Allah forgive me.

KAUNTA YA KUSOMA DUA HII Lengo: Mara 1
Fadhila za Dua Hii:

Mwenye kuamka usiku akasoma maneno haya kisha akaomba dua yoyote, dua yake inajibiwa; akiswali swala yake inakubaliwa.

Rejea na Chanzo

Kitabu / Chanzo:
Hisn al-Muslim #106, Sahih al-Bukhari 1154