الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا وَإِلَيْهِ النُّشُورُ.
"Alhamdu lillaahil-ladhee ahyaanaa ba'da maa amaatanaa wa ilayhin-nushoor."
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye ametuhuisha baada ya kutufisha (kwa usingizi), na Kwake ndiyo marejeo na kufufuliwa.
All praise is for Allah who gave us life after having taken it from us, and unto Him is the resurrection.
Hufungua vifungo vya Shetani vilivyofungwa wakati wa kulala na kumpa mtu bashasha na wepesi wa asubuhi.