بِاسْمِكَ رَبِّي وَضَعْتُ جَنْبِي، وَبِكَ أَرْفَعُهُ، فَإِنْ أَمْسَكْتَ نَفْسِي فَارْحَمْهَا، وَإِنْ أَرْسَلْتَهَا فَاحْفَظْهَا بِمَا تَحْفَظُ بِهِ عِبَادَكَ الصَّالِحِينَ.
"Bismika Rabbee wada'tu jambee, wa bika arfa'uh, fa'in amsakta nafsee farhamhaa, wa in arsaltahaa fahfadh-haa bimaa tahfadhu bihee 'ibaadakas-saaliheen."
Kwa Jina Lako Mola wangu ninaweka ubavu wangu, na kwa Uwezo Wako nitauinua; basi ikiwa Utaiweka roho yangu (nisiamshe) basi irehemu, na ikiwa Utairudisha basi ilinde kwa yale Unayowalinda kwayo waja Wako wema.
In Your name my Lord, I put down my side and with Your power I raise it up. If You take my soul, have mercy on it; and if You return it, protect it as You protect Your righteous slaves.
Inasomwa baada ya kupukuta kitanda chako mara tatu kwa ncha ya vazi lako kabla ya kulala.