أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ غَضَبِهِ وَعِقَابِهِ، وَشَرِّ عِبَادِهِ، وَمِنْ هَمَزَاتِ الشَّيَاطِينِ وَأَنْ يَحْضُرُونِ.
"A'oodhu bi-kalimaatillaahit-taammaati min ghadabihee wa 'iqaabih, wa sharri 'ibaadih, wa min hamazaatish-shayaateeni wa ay-yahduroon."
Najikinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na ghadhabu Zake na adhabu Yake, na shari ya waja Wake, na wasiwasi wa mashetani wasije wakanikaribia.
I seek refuge in the perfect words of Allah from His anger and punishment, the evil of His servants, and from the whispers of devils and their presence.
Hutuliza hofu ya jinamizi, ndoto za kutisha na kushtuka usiku kwa watoto na wakubwa.