الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا وَإِلَيْهِ النُّشُورُ.
"Alhamdu lillaahil-ladhee ahyaanaa ba'da maa amaatanaa wa ilayhin-nushoor."
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Aliyetufufua baada ya kutufisha (usingizini), na Kwake Yeye ndio marejeo ya ufufuo wote.
All praise is for Allah who gave us life after having taken it from us and unto Him is the resurrection.
Muislamu anayeanza siku yake kwa kumshukuru Allah huwekewa ulinzi na baraka tele katika shughuli zote za siku.