بِاسْمِكَ رَبِّي وَضَعْتُ جَنْبِي، وَبِكَ أَرْفَعُهُ، فَإِنْ أَمْسَكْتَ نَفْسِي فَارْحَمْهَا، وَإِنْ أَرْسَلْتَهَا فَاحْفَظْهَا بِمَا تَحْفَظُ بِهِ عِبَادَكَ الصَّالِحِينَ.
"Bismika Rabbee wada'tu jambee, wa bika arfa'uh, fa-in amsakta nafsee farhamhaa, wa in arsaltahaa fahfadh-haa bimaa tahfadhu bihi 'ibaadakas-saaliheen."
Kwa jina Lako Mola wangu ninaweka ubavu wangu, na kwa ajili Yako ninaunyanyua. Ukiizuia roho yangu (nikafa usingizini) basi irehemu, na ukiirudisha basi ihifadhi kama unavyowahifadhi waja Wako wema.
In Your name my Lord, I lie down and in Your name I arise, so if You should take my soul then have mercy upon it, and if You should return my soul then protect it in the manner You do with Your righteous servants.
Hukupa usingizi mzuri wenye amani na ulinzi wa Malaika hadi unapoamka.