Kozi
Sunan Abu Dawud
Fiqhi, Swala na Ibada
40 masomo
- 3883 Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina Hukumu za Swala na Tohara
- HE-5792 Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule... Hukumu za Swala na Tohara
- 2438 Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku... Hukumu za Swala na Tohara
- 1522 usijekuacha mwisho wa kila swala kusema: Allaahumma ainni alaa dhikrika washukrika wahusni ibaadatika" Ewe Mwe... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4292 Hakika vitu hivi viwili ni haramu kwa wanaume wa umma wangu, ni halali kwa wanawake wao Hukumu za Swala na Tohara
- 495 Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa miaka saba, na wapigeni kwa ajili yake nao wakiwa watoto... Hukumu za Swala na Tohara
- 3883 Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina Hukumu za Swala na Tohara
- 2438 Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku... Hukumu za Swala na Tohara
- 3106 Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akasema akiwa kwake mara saba: Namuomba Allah Mtukufu, Mo... Hukumu za Swala na Tohara
- 83 Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake Hukumu za Swala na Tohara
- 63 Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu Hukumu za Swala na Tohara
- 142 Eneza maji ya udhu, na uachanishe kati ya vidole, na pandisha maji yafike puani, isipokuwa utakapokuwa umefung... Hukumu za Swala na Tohara
- 2675 Hakika hastahiki kuadhibu kwa Moto isipokuwa Mola Mlezi wa Moto Hukumu za Swala na Tohara
- 307 Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote Hukumu za Swala na Tohara
- 30 Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anapotoka kukidhi haja anasema: "Ghufraanaka" Msamaha una... Hukumu za Swala na Tohara
- 449 Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Misikiti Hukumu za Swala na Tohara
- 850 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema kati ya sijida mbili: "Allaahumma ghfir lii, warhamnii,... Hukumu za Swala na Tohara
- 997 Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikuwa akitoa salaam kuliani kwake: "Assalaam alaiku... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11251 Atakayehifadhi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa nne baada yake basi Mwenyezi Mungu atamharamisha kuingia m... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11303 Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alimuona mtu mmoja akiswali peke yake nyuma ya safu, akamuamrisha... Hukumu za Swala na Tohara
- 554 Hakika swala hizi mbili, ni swala nzito sana kwa wanafiki, na lau kama mngejua malipo yaliyomo basi mngezijia,... Hukumu za Swala na Tohara
- 2118 Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja) Hukumu za Swala na Tohara
- 2085 Hakuna ndoa ila kuwe na walii (Msimamizi) Hukumu za Swala na Tohara
- 2083 Mwanamke yeyote atakayeolewa bila idhini ya walii wake, basi ndoa yake ni batili" Akasema hivyo mara tatu "Iki... Hukumu za Swala na Tohara
- 2162 Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile Hukumu za Swala na Tohara
- 2142 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni zipi haki za mke wa mmoja wetu juu yake?, Akasema: "Ni umlishe pale... Hukumu za Swala na Tohara
- 2133 Atakayekuwa na wake wawili akaegemea kwa mmoja wao atakuja siku ya Kiyama upande wake mmoja ukiwa umepinda Hukumu za Swala na Tohara
- 4403 Imenyanyuliwa kalamu kwa watu wa aina tatu: Kwa aliyelala mpaka aamke, na kwa mtoto mdogo mpaka abalehe, na kw... Hukumu za Swala na Tohara
- 2504 Wapigeni vita washirikina kwa mali zenu na nafsi zenu na ndimi zenu Hukumu za Swala na Tohara
- 1576 Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake pindi alipomuelekeza kwenda Yemen alimuamrisha achukue miongoni... Hukumu za Swala na Tohara
- 355 Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkuna... Hukumu za Swala na Tohara
- 4985 Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65104 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-... Hukumu za Swala na Tohara
- 565 Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini wakitaka kutoka watoke w... Hukumu za Swala na Tohara
- 1681 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia? Akasema: "Maji" Ak... Hukumu za Swala na Tohara
- 1633 Ikiwa mtapenda nitakupeni, lakini mali hii tajiri hana fungu ndani yake wala mwenye nguvu mwenye uwezo wa kuch... Hukumu za Swala na Tohara
- 671 Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya mwisho Hukumu za Swala na Tohara
- 1052 Atakayeacha Ijumaa tatu kwa kuzipuuzia; Mwenyezi Mungu hupiga muhuri katika moyo wake Hukumu za Swala na Tohara
- 3681 Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-66252 Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu na swala na sadaka? Hukumu za Swala na Tohara