Kozi
Sahih Muslim
Fiqhi, Swala na Ibada
214 masomo
- 1574 Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo yake kila siku kiratu... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2995 Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosem... Hukumu za Swala na Tohara
- 383 Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3029 hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata... Hukumu za Swala na Tohara
- 433 Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3033 Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye... Hukumu za Swala na Tohara
- 2742 Hakika dunia ni tamu, ni ya kijani, na hakika Mwenyezi Mungu anakumilikisheni ndani yake aone ni namna gani mt... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3062 Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3063 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3064 Paliletwa mashtaka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuhusu mtu anayepata wasiwasi kuwa anapata kitu n... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3066 Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku Hukumu za Swala na Tohara
- 1468 Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine Hukumu za Swala na Tohara
- 273 Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndog... Hukumu za Swala na Tohara
- 371 Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki Hukumu za Swala na Tohara
- 264 “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.” Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3081 Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3086 Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akif... Hukumu za Swala na Tohara
- 560 Hakuna swala chakula kinapokuwa tayari, na wala hakuna (swala) akiwa anazuia na kubana vichafu viwili(Haja kub... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3095 Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua... Hukumu za Swala na Tohara
- 402 Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja chan... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3103 Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wami... Hukumu za Swala na Tohara
- 1354 Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa... Hukumu za Swala na Tohara
- 851 Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3109 Fanyeni haraka kulipeleka jeneza, likiwa ni la mtu mwema, basi mnaliwahisha kupata kheri, na likiwa kinyume na... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3111 Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3143 Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3144 Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha n... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3150 Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khu... Hukumu za Swala na Tohara
- 897 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, mali zimeteketea na njia zote zimekatika, muombe Mwenyezi Mungu atuletee mvua Hukumu za Swala na Tohara
- 397 Rudi kaswali, kwani wewe hujaswali Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3228 Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa katazo hilo Hukumu za Swala na Tohara
- 259 Punguzeni sharubu na mfuge ndevu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3310 Namna ya kuoga janaba Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3313 Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake,... Hukumu za Swala na Tohara
- 303 Nilikuwa ni mtu mwenye kutokwa na madhii kwa wingi na nilikuwa nikiona haya kumuuliza Mtume Rehema na amani zi... Hukumu za Swala na Tohara
- 1010 Hakuna siku ambayo wanaamka ndani yake waja isipokuwa kuna Malaika wawili wanateremka, anasema mmoja wao: Ewe... Hukumu za Swala na Tohara
- 220 Nilikuwa kwa Saidi bin Jubair akasema: Ni nani kati yenu aliyeiona nyota iliyodondoka jana usiku? Nikasema: Mi... Hukumu za Swala na Tohara
- 2406 Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako k... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3437 Atakaye muandaa mpiganaji katika njia ya Mwenyezi Mungu basi na yeye atakuwa kapigana, na atakayemsimamia mpig... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3440 Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa na mkazo mkubwa na kudumu na jambo kama alivyokuwa katika raka... Hukumu za Swala na Tohara