Kozi
Sahih al-Bukhari

Maadili, Adabu na Tabia Njema

187 masomo

  1. 54 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilolinuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. HE-66515 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. HE-66520 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. HE-66523 Hakika katika yale waliyoyakuta watu miongoni mwa maneno ya kiutume ya mwanzo, usipokuwa na haya basi fanya ul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. 3178 Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. 2766 Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. 3435 , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. 6474 Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbili na vilivyo kati ya miguu yake ninampa dhamana ya Pep... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. 6488 Pepo iko karibu mno kwa mmoja wenu kuliko umbali wa kanyagio la kiatu na kisigino chake, na moto pia hivyo hiv... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  10. 5641 Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, hata mwiba unaomchoma... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  11. 6487 Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  12. 1240 Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, n... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  13. 2076 Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  14. 3480 Kulikuwa na mtu akiwakopesha watu,basi alikuwa akisema kumwambia kijana wake (Akienda kudai): Ukifika kwa mwen... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  15. 31 Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  16. HE-4314 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  17. HE-4817 Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  18. 3118 Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  19. 6064 Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  20. 6021 Kila wema ni sadaka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  21. HE-5367 Haingii peponi mkata udugu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  22. 2391 Haingii peponi mfitinishaji Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  23. 5986 Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  24. HE-5439 Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  25. 2457 Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  26. HE-5478 Haya ni katika imani Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  27. HE-5504 Kutoka kwa Abdillah bin Mas'udi -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -rehema na aman... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  28. 6406 Maneno mawili mepesi mno katika ulimi, ni mazito mno katika mizani, yanapendeka mno kwa Al-Rahmani (Mwingi wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  29. 6405 Atakayesema: Sub-haanallahi wabihamdihi, (Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema ni zake) kwa siku mara mia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  30. HE-5517 Atakayesema: Laa ilaaha illa llaahu wahdahu Laa shariika lahu, Lahul-Mulku walahul hamdu Wahuwa a'laa kulli sh... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  31. 71 Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  32. 904 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  33. 3559 Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  34. 4686 Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  35. 5096 Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  36. 69 Fanyeni mambo kuwa mepesi na wala msiyafanye kuwa magumu, na wapeni watu bishara njema na wala msiwakimbize Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  37. 15 Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  38. HE-8945 Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  39. 128 Hakuna mtu yeyote atakayeshuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu nakuwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  40. 5376 Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea Wema, Uadilifu na Tabia Njema