Kozi
Sahih al-Bukhari
Maadili, Adabu na Tabia Njema
187 masomo
- 54 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilolinuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66515 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66520 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66523 Hakika katika yale waliyoyakuta watu miongoni mwa maneno ya kiutume ya mwanzo, usipokuwa na haya basi fanya ul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3178 Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2766 Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3435 , atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6474 Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbili na vilivyo kati ya miguu yake ninampa dhamana ya Pep... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6488 Pepo iko karibu mno kwa mmoja wenu kuliko umbali wa kanyagio la kiatu na kisigino chake, na moto pia hivyo hiv... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5641 Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, hata mwiba unaomchoma... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6487 Moto umezingirwa na yenyekutamanisha, na Pepo imezingirwa na yenyekuchukiza Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1240 Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, n... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2076 Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3480 Kulikuwa na mtu akiwakopesha watu,basi alikuwa akisema kumwambia kijana wake (Akienda kudai): Ukifika kwa mwen... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 31 Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4314 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4817 Mja alifanya dhambi akasema: Ee Mola wangu nisamehe dhambi yangu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3118 Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu pasina haki, hao (wana adhabu ya) moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6064 Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6021 Kila wema ni sadaka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5367 Haingii peponi mkata udugu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2391 Haingii peponi mfitinishaji Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5986 Atakayependa kukunjuliwa katika riziki yake, na acheleweshewe ajali yake, basi na aunge udugu wake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5439 Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2457 Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5478 Haya ni katika imani Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5504 Kutoka kwa Abdillah bin Mas'udi -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -rehema na aman... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6406 Maneno mawili mepesi mno katika ulimi, ni mazito mno katika mizani, yanapendeka mno kwa Al-Rahmani (Mwingi wa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6405 Atakayesema: Sub-haanallahi wabihamdihi, (Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema ni zake) kwa siku mara mia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5517 Atakayesema: Laa ilaaha illa llaahu wahdahu Laa shariika lahu, Lahul-Mulku walahul hamdu Wahuwa a'laa kulli sh... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 71 Mwenye kutakiwa kheri na Allah humpa ufahamu katika dini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 904 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3559 Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4686 Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5096 Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 69 Fanyeni mambo kuwa mepesi na wala msiyafanye kuwa magumu, na wapeni watu bishara njema na wala msiwakimbize Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 15 Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-8945 Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 128 Hakuna mtu yeyote atakayeshuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu nakuwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5376 Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea Wema, Uadilifu na Tabia Njema