اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ وَمَنْ فِيهِنَّ، وَلَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ قَيِّمُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ وَمَنْ فِيهِنَّ، وَلَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ الْحَقُّ، وَوَعْدُكَ الْحَقُّ، وَلِقَاؤُكَ حَقٌّ، وَالْجَنَّةُ حَقٌّ، وَالنَّارُ حَقٌّ...
"Allaahumma lakal-hamdu Anta noorus-samaawaati wal-ardhi wa man feehinn, wa lakal-hamdu Anta qayyimus-samaawaati wal-ardhi wa man feehinn..."
Ewe Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni Zako, Wewe ndiwe Nuru ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake; na sifa njema zote ni Zako, Wewe ndiwe Msimamizi wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake; na sifa zote ni Zako, Wewe ndiwe Haki, na ahadi Yako ni haki, na mkutano Wako ni haki, na Pepo ni haki, na Moto ni haki...
O Allah, to You belongs all praise, You are the Light of the heavens and the earth and whoever is within them...
Dua tukufu aliyokuwa akiisoma Mtume ﷺ anapoamka usiku kufungua swala ya Tahajjud.