Rudi kwenye hadith
RAMANI YA MAARIFA

Sahih al-Bukhari · Na. 676

Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake (anakusudia kuhudumia familia yake), unapofika wakati wa swala anatoka kwenda katika swala

Kitabu Mlango Mada Hadith inayofanana

Mada zinazohusiana

Tawhid na Misingi ya ImaniSwala, Tohara na IbadaFamilia, Ndoa na Haki za WazaziRiziki Halali na Kazi

Hadith zinazofanana

Sahih Muslim · Na. 253 31%

Kutoka kwa Shuraihi bin Hanii amesema: Nilimuuliza Aisha, nikasema: Ni kwa jambo gani alikuwa akianza nalo Mtume rehema na amani ziwe juu ya...

nilimuulizanyumbaniaishakwake

Linganisha na hii
Sahih Muslim · Na. 335 17%

Kutoka kwa Muadha amesema: Nilimuuliza Aisha nikasema: Vipi kuhusu mwenye hedhi analipa swala na wala halipi swala? Akasema: Hivi wewe ni mt...

nilimuulizaaishaswala

Linganisha na hii
Sahih al-Bukhari · Na. HE-3449 17%

Kutoka kwa Muadha amesema: Nilimuuliza Aisha nikasema: Vipi kuhusu mwenye hedhi analipa swala na wala halipi swala? Akasema: Hivi wewe ni mt...

nilimuulizaaishaswala

Linganisha na hii

Ufanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.

Isnad na wasifu wa wapokezi

Data ya wapokezi (isnad) bado haijaongezwa kwenye Bayt Ul Hadith. Itaonekana hapa pindi itakapopatikana kutoka chanzo kinachoaminika, kwa marejeo kamili.