Familia
بر الوالدين وحسن المعاشرة والأسرة

Familia, Ndoa na Haki za Wazazi

Kuwatendea wema wazazi wawili, mapenzi na heshima katika ndoa, na malezi bora ya watoto katika jamii.

Inatafuta hadithi…
Sahih Muslim #1907 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عن عمر بن الخطاب رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّةِ، وَإِنَّمَا لِامْرِئٍ مَا نَوَى، فَمَنْ كَانَتْ هِجْرَتُهُ إِلَى اللهِ وَرَسُولِهِ، فَهِجْرَتُهُ إِلَى اللهِ وَرَسُولِهِ، وَمَنْ كَانَتْ هِجْرَتُهُ لِدُنْيَا يُصِيبُهَا أَوِ امْرَأَةٍ يَتَزَوَّجُهَا، فَهِجْرَتُهُ إِلَى مَا هَاجَرَ إِلَيْهِ». وفي لفظ للبخاري: «إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى».

Imepokewa kutoka kwa Omar Bin Khattwab- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- "Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia, atakayekuwa kuhama kwake ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, (basi malipo yake yatakuwa) ni kuhama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na atakayekuwa kuhama kwake ni kwa ajili ya kuipata dunia, au kwa ajili ya mwanamke atakaemuoa, basi kuhama kwake kutakuwa ni kwa kile alichokiendea." Na lafudhi ya Bukhari: ""Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia."

‘Umar ibn al-Khattāb (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (may Allah’s peace and blessings be upon him) said: "Verily, the reward of deeds depends on the intention, and a person will be rewarded according to what he intended. So, he whose migration is for the sake of Allah and His Messenger, then his migration is for the sake of Allah and His Messenger, and he whose migration is to achieve some worldly gain or take some woman in marriage, then his migration is for what he migrated for." In a version by Al-Bukhāri: "Verily, the reward of deeds depends on the intentions, and each person will be rewarded according to what he intended."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Himizo la kuwa na Ikhlasi (kutakasa nia) kwani Mwenyezi Mungu hakubali katika matendo isipokuwa yale yatakayokusudiwa kupata radhi zake.
  • Matendo ambayo hutumika kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwayo, akiyafanya muislamu mtu mzima kwa njia ya mazoea hawezi kuwa na thawabu juu yake, mpaka akusudie kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu kwa matendo hayo.
Sahih al-Bukhari #HE-2753 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رضي الله عنهما قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ لِامْرَأَةٍ مِنَ الْأَنْصَارِ سَمَّاهَا ابْنُ عَبَّاسٍ فَنَسِيتُ اسْمَهَا: «مَا مَنَعَكِ أَنْ تَحُجِّي مَعَنَا؟» قَالَتْ: لَمْ يَكُنْ لَنَا إِلَّا نَاضِحَانِ فَحَجَّ أَبُو وَلَدِهَا وَابْنُهَا عَلَى نَاضِحٍ وَتَرَكَ لَنَا نَاضِحًا نَنْضِحُ عَلَيْهِ، قَالَ: «فَإِذَا جَاءَ رَمَضَانُ فَاعْتَمِرِي، فَإِنَّ عُمْرَةً فِيهِ تَعْدِلُ حَجَّةً».

Imepokelewa kutoka kwa bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia mwanamke mmoja miongoni mwa Ansari (Watu wa Madina) ambaye bin Abbas alimtaja kwa jina, lakini mimi nimelisahau jina lake: “Ni nini kilikuzuia kuhiji pamoja nasi?” Akasema: Sisi tulikuwa na vilemba viwili tu, basi baba wa mwanawe na mwanawe walihiji kwa kilemba hicho na akatuachia kilemba kimoja ili tukifue.” Akasema: «Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”

Ibn ‘Abbās (may Allah be pleased with him and his father) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said to a woman from the Ansār—Ibn ‘Abbās named her, but I forgot her name—"What prevented you from performing Hajj with us?" She said: We only had two camels, and the father of her son and her son performed Hajj on one camel and left us a camel to carry water on. He said: "Perform ‘Umrah when Ramadan comes, for ‘Umrah in it is equivalent to Hajj."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Fadhila za Umra ndani ya mwezi wa Ramadhani.
  • Umra ndani ya Ramadhani inalingana sawa na Hija katika malipo, haina maana ya kuondosha uwajibu wa Hija.
Sahih Muslim #1255 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #1521 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: سمعت النبي صلى الله عليه وسلم يقول: «مَنْ حَجَّ لِلهِ فَلَمْ يَرْفُثْ وَلَمْ يَفْسُقْ رَجَعَ كَيَوْمِ وَلَدَتْهُ أُمُّهُ».

Imepokelewa Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi mungu ziwe juu yake- amesema: Nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema: "Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku aliyozaliwa na mama yake"

Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported: I heard the Messenger of Allah (may Allah’s peace and blessings be upon him) say: "Whoever performs Hajj without engaging in rafath (sexual relations or obscene speech) or sinning will return like the day his mother gave birth to him."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Uwovu pamoja na kuwa umekatazwa katika hali zote, katazo hilo linatiwa mkazo katika Hija kwa kuheshimu na kutukuza ibada ya Hija.
  • Mwanadamu huzaliwa pasina kuwa na makosa akiwa kaepukana na madhambi; hivyo hawezi kubeba madhambi ya mwingine.
Sahih Muslim #HE-2758 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #1520 Sahihi Imepokelewa na Al-Bukhaariy

عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ المُؤْمِنِينَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا أَنَّهَا قَالَتْ: يَا رَسُولَ اللَّهِ، نَرَى الجِهَادَ أَفْضَلَ العَمَلِ، أَفَلاَ نُجَاهِدُ؟ قَالَ: «لَا، لَكُنَّ أَفْضَلُ الجِهَادِ: حَجٌّ مَبْرُورٌ».

Imepokelewa kutoka kwa Aisha mama wa waumini -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tunaiona Jihadi kuwa ni amali bora zaidi, basi je tupigane? Akasema: "Hapana, lakini Jihadi iliyo bora zaidi ni Hija iliyokubaliwa."

‘Ā’ishah, Mother of the Believers, (may Allah be pleased with her) reported saying: O Messenger of Allah, we consider Jihad the best deed; should we not perform Jihad? He said, "No; rather, the best Jihad is Mabrūr (accepted) Hajj."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Jihadi ni katika amali bora kwa wanaume.
  • Haji kwa wanawake ni bora kuliko Jihadi, na ni miongoni mwa matendo bora kwao.
Sahih al-Bukhari #HE-2936 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنِ ابْنِ عُمَرَ رَضيَ اللهُ عنهما قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «إِذَا جَمَعَ اللهُ الْأَوَّلِينَ وَالْآخِرِينَ يَوْمَ الْقِيَامَةِ يُرْفَعُ لِكُلِّ غَادِرٍ لِوَاءٌ، فَقِيلَ: هَذِهِ غَدْرَةُ فُلَانِ بْنِ فُلَانٍ».

Kutoka kwa bin Omari radhi za Allah ziwe juu yao yeye na baba yake, amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake: "Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani bin fulani".

Ibn ‘Umar (may Allah be pleased with him and his father) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "When Allah gathers the first and the last on the Day of Judgment, a banner will be raised for every traitor, and it will be said: This is the betrayal of so-and-so, the son of so-and-so."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Uharamu wa hiana na kwamba hilo ni katika madhambi makubwa; kwa sababu ndani yake kuna ahadi hii kali ya adhabu.
  • Hiana iliyosemwa katika hadithi inakusanya kila aliyekuamini juu ya damu, au heshima, au siri, au mali, kisha ukamfanyia hiana, na ukaenda kinyume na dhana yake katika kukuamini kwake.
Sahih Muslim #1735 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #2654 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عن أبي بكرة رضي الله عنه قال: قال النبي صلى الله عليه وسلم: «‌أَلَا ‌أُنَبِّئُكُمْ بِأَكْبَرِ الْكَبَائِرِ؟» ثَلَاثًا، قَالُوا: بَلَى يَا رَسُولَ اللهِ، قَالَ: «الْإِشْرَاكُ بِاللهِ، وَعُقُوقُ الْوَالِدَيْنِ» وَجَلَسَ وَكَانَ مُتَّكِئًا، فَقَالَ: «أَلَا وَقَوْلُ الزُّورِ»، قَالَ: فَمَا زَالَ يُكَرِّرُهَا حَتَّى قُلْنَا: لَيْتَهُ سَكَتَ.

Imepokewa kutoka kwa Abuu Bakra -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?" Kalisema hilo mara tatu, wakasema: Tueleze ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, akasema: "Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu (na kitu kingine), na kuwaasi wazazi wawili" Na akakaa vizuri na alikuwa kaegemea, akasema: "Fahamuni, na kusema uongo", akasema: Akaendelea kulikariri neno hilo mpaka tukasema: Laiti angenyamaza.

Abu Bakrah (may Allah be pleased with him) reported: The Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Shall I inform you of the gravest of the major sins?" He repeated this three times. They said: "Yes, O Messenger of Allah." He said: "Associating partners with Allah and undutifulness to parents." He was reclining and then sat up and said: "And indeed, the false statement." He repeated it so many times that we wished he would stop.

✦ Mafunzo Muhimu
  • Dhambi kubwa kabisa ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu; kwa sababu amelifanya kuwa dhambi kubwa la kwanza na kubwa kuliko yote, na inayotia mkazo katika hili ni kauli yake Mtukufu: "Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi pale anaposhirikishwa, na anasamehe yasiyokuwa hayo kwa amtakaye".
  • Ukubwa wa haki ya wazazi wawili, pale alipoambatanisha haki zao na haki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Sahih Muslim #HE-2941 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #HE-2945 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ عُمَرَ بْنِ الْخَطَّابِ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «إِنَّ اللهَ عَزَّ وَجَلَّ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ»، قَالَ عُمَرُ: فَوَاللهِ مَا حَلَفْتُ بِهَا مُنْذُ سَمِعْتُ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَهَى عَنْهَا ذَاكِرًا وَلَا آثِرًا.

Imepokewa kutoka kwa Omar Bin Khattwab- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- "Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu", akasema Omari: Wallahi sikuwahi kuapa tena kwa kiapo hicho tangu nilipomsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alipokataza hivyo, kwa kutamka mwenyewe wala kwa kunukuu kiapo cha mtu mwingine.

‘Umar ibn al-Khattāb (may Allah be pleased with him) reported that the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Indeed, Allah Almighty forbids you to swear by your forefathers." ‘Umar said: By Allah, I have never sworn by that since I heard that the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) forbade it, neither deliberately nor reporting it from others.

✦ Mafunzo Muhimu
  • Uharamu wa kuapia kinyume na Mwenyezi Mungu, na kataja kumwapia baba kwa sababu hii ilikuwa ni katika desturi za zama za ujinga.
  • Kiapo: Ni kuapa kwa jina la Mwenyezi Mungu au kwa majina yake au sifa zake katika jambo miongoni mwa mambo kwa ajili kutilia mkazo.
Sahih Muslim #1646 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #3014 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُما: أَنَّ امْرَأَةً وُجِدَتْ فِي بَعْضِ مَغَازِي النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مَقْتُولَةً، فَأَنْكَرَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَتْلَ النِّسَاءِ وَالصِّبْيَانِ.

Imepokelewa kutoka kwa Abdallah bin Omari -Radhi za Allah ziwe juu yake na baba yake-: Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake, akakemea vikali Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuuwawa wanawake na watoto.

‘Abdullāh ibn ‘Umar (may Allah be pleased with him) reported that a woman was found killed in one of the expeditions of the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him), and so the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) denounced killing women and boys.

✦ Mafunzo Muhimu
  • Mwanamke na mtoto yeyote ambaye hatopigana, na mwenyekuwa mfano wao kama wazee vikongwe, na watawa, hawa hawauawi, madam hawajatoa rai au msaada wowote wa kuwapiga waislamu, ikiwa watafanya hivyo basi nao watauawa.
  • Katazo la kuwaua wanawake na watoto; kwa sababu hawa huwa hawawapigi vita waislamu, na malengo ya kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, ni kuvunja nguvu ya wapiganaji pekee, ili ujumbe wa haki uwafikie watu wote.
Sahih Muslim #HE-2949 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #HE-2960 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنِ ابْنِ عُمَرَ رضي الله عنهما: عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَنَّهُ نَهَى عَنِ النَّذْرِ، وَقَالَ: «إِنَّهُ لَا يَأْتِي بِخَيْرٍ، وَإِنَّمَا يُسْتَخْرَجُ بِهِ مِنَ الْبَخِيلِ».

Kutoka kwa bin Omari -Radhi za Allah ziwe juu yao yeye na baba yake-: Kutoka kwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahili"

Ibn ‘Umar (may Allah be pleased with him) reported: The Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) forbade vowing and said: "Indeed, it does not bring any good; rather it is only a means to extract something from the miser."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Nadhiri si sheria, lakini akiweka nadhiri ni lazima kwake kuitekeleza kama haitokuwa ya maasi.
  • Sababu ya kuikataza nikuwa (haiji kwa heri); kwa sababu hairejeshi chochote katika kadari za Mwenyezi Mungu; na ili asidhanie mtia nadhiri kuwa kutimia kwa ombi lake kulikuwa kwa sababu ya nadhiri, na Mwenyezi Mungu hana haja na hilo.