Swala
الصلاة والطهارة والخشوع

Swala, Tohara na Ibada

Nguzo ya pili ya Uislamu, nyakati za swala, tohara na udhu, na umuhimu wa swala za jamaa na sunnah.

Inatafuta hadithi…
Sahih al-Bukhari #611 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الخُدْرِيِّ رضي الله عنه أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «إِذَا سَمِعْتُمُ النِّدَاءَ، فَقُولُوا مِثْلَ مَا يَقُولُ المُؤَذِّنُ».

Kutoka kwa Abuu Saidi Al-Khudry -Radhi za Allah ziwe juu yake- yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-: "Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini".

Abu Sa‘īd al-Khudri (may Allah be pleased with him) reported that the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "When you hear the Adhan (call to prayer), repeat what the Muezzin says."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Atamfuatisha muadhini wa kwanza baada ya kumaliza wa kwanza, hata kama waadhini watakuwa wengi; kwa sababu ya ujumla wa hadithi hii.
  • Atamjibu muadhini katika hali zake zote, ikiwa atakuwa hayuko chooni au akikidhi haja.
Sahih Muslim #HE-3013 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #1597 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ: أَنَّهُ جَاءَ إِلَى الحَجَرِ الأَسْوَدِ فَقَبَّلَهُ، فَقَالَ: إِنِّي أَعْلَمُ أَنَّكَ حَجَرٌ، لاَ تَضُرُّ وَلاَ تَنْفَعُ، وَلَوْلاَ أَنِّي رَأَيْتُ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يُقَبِّلُكَ مَا قَبَّلْتُكَ.

Kutoka kwa Omari -radhi za Allah ziwe juu yake-: Ya kwamba siku moja alikuja katika jiwe jeusi akalibusu, kisha akasema: Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akikubusu basi nisingekubusu.

‘Umar (may Allah be pleased with him) reported: He came to the Black Stone and kissed it and said: Verily, I know that you are a stone that can neither harm nor benefit. Had I not seen the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) kissing you, I would not have kissed you.

✦ Mafunzo Muhimu
  • Hapa kuna sheria ya kulibusu jiwe jeusi kwa wenye kuizunguka Al-Kaaba pale wanapolifikia, ikiwezekana hilo kwa wepesi.
  • Makusudio ya kulibusu jiwe jeusi ni kumuiga Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
Sahih Muslim #HE-3024 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #325 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ المؤمنين رضي الله عنها أَنَّ فَاطِمَةَ بِنْتَ أَبِي حُبَيْشٍ سَأَلَتِ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَتْ: إِنِّي أُسْتَحَاضُ فَلاَ أَطْهُرُ، أَفَأَدَعُ الصَّلاَةَ؟ فَقَالَ: «لَا، إِنَّ ذَلِكِ عِرْقٌ، وَلَكِنْ دَعِي الصَّلاَةَ قَدْرَ الأَيَّامِ الَّتِي كُنْتِ تَحِيضِينَ فِيهَا، ثُمَّ اغْتَسِلِي وَصَلِّي».

Kutoka kwa Aisha mama wa waumini Radhi za Allah ziwe juu yake yakwamba Fatma bint Abii Qubaishi alimuuliza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akasema: Mimi hupatwa na hedhi ya ugonjwa na sitwahariki, je niache swala? Akasema: "Hapana, hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata hedhi ndani yake, kisha oga na swali".

‘Ā’ishah, the Mother of the Believers, (may Allah be pleased with her) reported that Fātimah bint Abi Hubaysh asked the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) saying: I have a continuous flow of vaginal bleeding; so, I never attain purity (from menses). Should I abstain from prayer? He replied: "No, this is a vein. Abstain from prayer only for a number of days similar to those of your normal menses; then, take a ritual bath and pray."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Uwajibu wa kuoga kwa mwanamke zinapomalizika siku za hedhi yake.
  • Uwajibu wa kuswali kwa mwenye istihadha (Hedhi ya ugonjwa).
Sahih Muslim #HE-3029 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #HE-3031 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «سَوُّوا صُفُوفَكُمْ، فَإِنَّ تَسْوِيَةَ الصَّفِّ مِنْ تَمَامِ الصَّلَاةِ».

Imepokelewa kutoka kwa Anas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na amani ziwe juu yake: "Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala"

Anas ibn Mālik (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Straighten your rows, for indeed, straightening the row is from the perfection of the prayer."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Sheria ya kuchunga kila kinachokamilisha swala na kuiweka mbali na upungufu.
  • Hekima ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika kufundisha, kwani aliihusisha hukumu na sababu yake; ili iwe wazi hekima ya kuletwa sheria hiyo, na nafsi ipate hamasa ya kuitekeleza.
Sahih Muslim #433 Sahihi Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahih al-Bukhari #HE-3056 Sahihi Hadithi hii imepokelewa na Bukhari na Muslim, na matamshi haya ni ya Muslim, na akaipokea Bukhari kwa ufupi

عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضيَ اللهُ عنهما أَنَّ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ يَقُولُ: «اللهُمَّ لَكَ أَسْلَمْتُ، وَبِكَ آمَنْتُ، وَعَلَيْكَ تَوَكَّلْتُ، وَإِلَيْكَ أَنَبْتُ، وَبِكَ خَاصَمْتُ، اللهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِعِزَّتِكَ، لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ أَنْ تُضِلَّنِي، أَنْتَ الْحَيُّ الَّذِي لَا يَمُوتُ، وَالْجِنُّ وَالْإِنْسُ يَمُوتُونَ».

Na imepokelewa kutoka kwa bin Abbas -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake yeye na baba yake -kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa akisema: "Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimejisogeza, na kwa ajili yako napambana. Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najikinga kwako kwa utukufu wako hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe najikinga kwa kuto nipoteza, wewe ndiye uliye hai ambaye hafi, na majini na watu wanakufa".

Ibn ‘Abbās (may Allah be pleased with him and his father) reported that the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) used to say: "Allāhumma laka aslamt, wa bika āmant, wa ‘alayka tawakkalt, wa ’ilayka anabt, wa bika khāsamt. Allāhumma inni a‘ūdhu bi‘izzatika, la ilāha illa ant, an tudillani. Anta al-hayyu alladhi la yamūt, wal-jinnu wal-insu yamūtūn. (O Allah, I surrender to You, I believe in You, I rely upon You, to You I repent, and with Your help I dispute. I seek refuge in Your Might. There is no god but You, that You do not lead me astray. You are the Ever-Living Who never dies, but the Jinn and humans die)."

✦ Mafunzo Muhimu
  • Sheria ya kutanguliza sifa katika kila mahitaji.
  • Ulazima wa kutegemea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu peke yake na kuomba hifadhi kutoka kwake; kwa sababu yeye ndiye mwenye kusifika kwa sifa kamilifu, basi yeye peke yake yake ndiye mwenye kutegemewa, na viumbe wote hawajiwezi na mwisho wao ni kifo, hivyo wao hawastahiki kutegemewa.
Sahih Muslim #2717 Sahihi Hadithi hii imepokelewa na Bukhari na Muslim, na matamshi haya ni ya Muslim, na akaipokea Bukhari kwa ufupi

Sahih al-Bukhari #1180 Sahihi Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote

عَنِ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: حَفِظْتُ مِنَ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ عَشْرَ رَكَعَاتٍ: رَكْعَتَيْنِ قَبْلَ الظُّهْرِ، وَرَكْعَتَيْنِ بَعْدَهَا، وَرَكْعَتَيْنِ بَعْدَ المَغْرِبِ فِي بَيْتِهِ، وَرَكْعَتَيْنِ بَعْدَ العِشَاءِ فِي بَيْتِهِ، وَرَكْعَتَيْنِ قَبْلَ صَلاَةِ الصُّبْحِ، وَكَانَتْ سَاعَةً لاَ يُدْخَلُ عَلَى النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ فِيهَا، حَدَّثَتْنِي حَفْصَةُ أَنَّهُ كَانَ إِذَا أَذَّنَ المُؤَذِّنُ وَطَلَعَ الفَجْرُ صَلَّى رَكْعَتَيْنِ، وَفِي لَفْظٍ: أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ يُصَلِّي بَعْدَ الْجُمُعَةِ رَكْعَتَيْنِ.

Imeokewa Kutoka kwa bin Omari Radhi za Allah ziwe juu yake yeye na baba yake, amesema : Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi: Rakaa mbili kabla ya Dhuhuri, na rakaa mbili baada yake, na rakaa mbili baada ya Magharibi nyumbani kwake, na rakaa mbili baada ya Ishaa nyumbani kwake, na rakaa mbili kabla ya swala ya Alfajiri, na muda huo ulikuwa ni wakati ambao haruhusiwi yeyote kuingia kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, Hafswa ndiye aliyenisimulia kuwa alikuwa anapoadhini muadhini na ikachomoza Alfajiri anaswali rakaa mbili, na katika riwaya nyingine: Nikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akiswali baada ya Ijumaa rakaa mbili.

Ibn ‘Umar (may Allah be pleased with him and his father) reported: I memorized from the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) ten Rak‘ahs (units of prayer): two Rak‘ahs before Zhuhr and two Rak‘ahs after it, two Rak‘ahs after Maghrib at his home, two Rak‘ahs after ‘Ishā’ at his home, and two Rak‘ahs before the Fajr prayer, an hour when none was allowed to enter upon the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him). Hafsah told me that after the muezzin would make Adhān (call to prayer) and after the break of dawn, the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) used to offer two Rak‘ahs. Another wording reads: The Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) used to offer two Rak‘ahs after the Friday prayer.

✦ Mafunzo Muhimu
  • Imendezeshwa kuswali rakaa hizi zilizopangiliwa, na kudumu nazo.
  • Sheria ya kuswali sunna nyumbani.
Sahih Muslim #HE-3062 Sahihi Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote

Sahih al-Bukhari #HE-3064 Sahihi Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

عن عبد الله بن زيد بن عاصم المازني رضي الله عنه قال: (شُكِيَ إلى النبيِّ صلى الله عليه وسلم الرَّجلُ يُخَيَّلُ إِليه أنَّه يَجِد الشَّيء في الصَّلاة، فقال: لا ينصرف حتَّى يَسمعَ صَوتًا، أو يَجِد رِيحًا).

Kutoka kwa Abdillahi bin zaidi bin A'swim Al-maaziniy- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: "paliletwa mashtaka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuhusu mtu anayepata wasiwasi kuwa anapata kitu ndani ya swala (katika vitenguzi vya udhu), Akasema: asiondoke mpaka asikie sauti, au apate harufu".

‘Abdullāh ibn Zayd ibn ‘Āsim al-Māzini (may Allah be pleased with him) reported that a complaint was made to the Prophet (may Allah’s peace and blessings be upon him) about the person who doubts that something (breaking his ablution) has happened to him during his prayer, and he said: "He should not leave (his prayer) unless he hears a sound or perceives a smell."

Sahih Muslim #HE-3064 Sahihi Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

Sahih al-Bukhari #5465 Sahihi Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote

عن عائشة وعبد الله بن عمر وأنس بن مالك رضي الله عنهم مرفوعاً: «إِذَا أُقِيمَت الصَّلاَة، وحَضَرَ العَشَاء، فَابْدَءُوا بِالعَشَاء».

Kutoka kwa Aisha na Abdillahi bin Omar na Anasi bin Maliki -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Hadithi Marfu'u: "Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku".

‘Ā'ishah, ‘Abdullāh ibn 'Umar, and Anas ibn Mālik (may Allah be pleased with them) reported that the Prophet (may Allah’s peace and blessings be upon him) said: "If the Iqāmah for prayer is proclaimed, and the dinner is served, start with the dinner."