Kozi
Sunan Ibn Majah
Maadili, Adabu na Tabia Njema
24 masomo
- HE-3567 Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3575 “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yatakayo kunyanyueni juu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4212 Basi kusanyikeni katika chakula chenu, na mkitajie jina la Mwenyezi Mungu, mtabarikiwa katika chakula hicho Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4307 Ipe nyongo dunia Allah atakupenda ,na usivitolee macho vitu vya watu, watu watakupenda Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4716 Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4721 Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku nde... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4723 Hajawahi kujaza mwanadamu yeyote chombo chenye shari zaidi kama tumbo, kinamtosha mwanadamu kiasi kidogo cha c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4964 Kikoi cha muislamu kifikie nusu ya muundi, na wala hakuna tabu wala hakuna ubaya kikiwa kati yake na kati ya f... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5431 Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha chakula hiki, na akanir... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5476 Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo yatakayowaingiza watu peponi kwa wingi, akasema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5485 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5487 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba (unipe) kutoka katika heri zote: zile za haraka na za kuchelewa, kwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5490 Ewe Mwenyezi Mungu kwako tumeamka, na kwako tunashinda, na kwako tunakuwa hai, na kwako tutakufa, na kwako tut... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5496 Dua ndio ibada Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5499 Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuonea haya mja wake atakapo nyanyua mikono yake kumuelekeze... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5509 Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5821 Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanaume) hao si bora kati... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6093 Yeyote atakayesema: Bismillaahi lladhi laa yadhurru ma'asmihi shai un fil Ardhwi walaa fis samaai, wahuwas sam... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6257 Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaachana Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6262 Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6820 Allah amng'arishe mtu aliyesikia kutoka kwangu chochote akakifikisha kama alivyo sikia, huenda mfikishiwa akaw... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65063 Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65553 Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katika nguo zenu bora, na wavisheni kwazo maiti wenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66232 Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo Wema, Uadilifu na Tabia Njema