Kozi
Sahih Muslim

Fiqhi, Swala na Ibada

214 masomo

  1. 15 Waonaje ikiwa nitaswali swala zilizofaradhishwa, na nikafunga Ramadhani, na nikahalalisha kilichokuwa halali n... Hukumu za Swala na Tohara
  2. 657 Atakayeswali swala ya Asubuhi basi huyo yuko katika dhima ya Mwenyezi Mungu Hukumu za Swala na Tohara
  3. 2588 Sadaka haikuwahi kupunguza chochote katika mali, na hakuna jambo zuri zaidi analomzidishia Mwenyezi Mungu mja... Hukumu za Swala na Tohara
  4. 715 Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema Hukumu za Swala na Tohara
  5. 594 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitoa tahlil (Laa ilaaha illa llaah) kwa maneno haya mwisho wa... Hukumu za Swala na Tohara
  6. 245 Atakayetawadha na akaufanya vizuri udhu wake, hutoka makosa yake ndani ya mwili wake mpaka yakatiririka kutoka... Hukumu za Swala na Tohara
  7. 972 Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea Hukumu za Swala na Tohara
  8. 244 Pindi mja muislamu au muumini atakapotawadha akaosha uso wake, madhambi yake yote yanayotokana na kuangalia ya... Hukumu za Swala na Tohara
  9. 335 Nilimuuliza Aisha nikasema: Vipi kuhusu mwenye hedhi analipa swala na wala halipi swala? Hukumu za Swala na Tohara
  10. 368 Hakika ilikuwa inakutosheleza kupiga kwa mikono yako hivi" Kisha akapiga kwa mikono yake miwili chini ya ardhi... Hukumu za Swala na Tohara
  11. 486 Ewe Mwenyezi Mungu ninajilinda kwa radhi zako kutokana na hasira zako, na salama yako dhidi ya adhabu zako, na... Hukumu za Swala na Tohara
  12. 756 Aliulizwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-: Ni swala ipi bora? Akasema: Ni kurefusha kisimamo Hukumu za Swala na Tohara
  13. 253 Nilimuuliza Aisha, nikasema: Ni kwa jambo gani alikuwa akianza nalo Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoi... Hukumu za Swala na Tohara
  14. 261 Mambo kumi ni katika maumbile: Kupunguza masharubu, na kuziachia ndevu,na kupiga mswaki, na kupandisha maji pu... Hukumu za Swala na Tohara
  15. 488 Shikamana na kusujudu kwa wingi kwa ajili ya Allah, kwani hakika wewe huta sujudu kwa ajili ya Allah isipokuwa... Hukumu za Swala na Tohara
  16. 1175 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akijitahidi katika siku kumi za mwisho, kwa namna ambayo hakujitah... Hukumu za Swala na Tohara
  17. 1563 Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku ya Kiyama, basi amtatulie shida mwenye hali ngumu au a... Hukumu za Swala na Tohara
  18. 1885 Hivi unaonaje ikiwa nitauwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu, je yatafutwa makosa yangu? Hukumu za Swala na Tohara
  19. 1153 Atakayefunga siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu, atauweka mbali Mwenyezi Mungu uso wake na moto miaka sab... Hukumu za Swala na Tohara
  20. 985 Tulikuwa tukitoa kipindi alipokuwa nasi Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul fitiri, kwa kila mdogo na... Hukumu za Swala na Tohara
  21. 1082 Msiitangulizie Ramadhani kwa swaumu ya siku moja wala siku mbili, isipokuwa mtu aliyekuwa akifunga swaumu fula... Hukumu za Swala na Tohara
  22. 1155 Atakayesahau hali yakuwa kafunga akala au akanywa, basi atimize swaumu yake, kwani Mwenyezi Mungu kamlisha na... Hukumu za Swala na Tohara
  23. 1006 Hivi kwani hajakuwekeeni Mwenyezi Mungu mambo mnayoweza kutoa sadaka: Hakika katika kila tasbihi (kauli ya sub... Hukumu za Swala na Tohara
  24. 649 Swala ya mtu katika jamaa inazidi swala yake sokoni kwake na nyumbani kwake kwa daraja zaidi ya ishirini Hukumu za Swala na Tohara
  25. 1676 Si halali damu ya muislamu isipokuwa kwa moja kati ya mambo matatu Hukumu za Swala na Tohara
  26. 1174 Alikuwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- zinapoingia siku kumi (za mwisho wa ramadhani) anauhuisha usiku,... Hukumu za Swala na Tohara
  27. HE-1751 Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwis... Hukumu za Swala na Tohara
  28. 1255 Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.” Hukumu za Swala na Tohara
  29. HE-2758 Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku ali... Hukumu za Swala na Tohara
  30. HE-2949 Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake... Hukumu za Swala na Tohara
  31. HE-2956 Nilimuendea Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Nikasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Hakika sisi tuko kat... Hukumu za Swala na Tohara
  32. 1639 Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahil... Hukumu za Swala na Tohara
  33. HE-2961 Wallahi – akipenda Mwenyezi Mungu - sitokula kiapo cha jambo fulani isipokuwa ninapoona kilichobora zaidi basi... Hukumu za Swala na Tohara
  34. HE-2964 Mkono unakatwa kwa robo Dinari na kuendelea Hukumu za Swala na Tohara
  35. 1714 Chukua katika mali yake kwa wema, kiasi kinachokutosha wewe na wanao Hukumu za Swala na Tohara
  36. 1904 “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu Hukumu za Swala na Tohara
  37. 1966 Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wa... Hukumu za Swala na Tohara
  38. HE-2980 Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi M... Hukumu za Swala na Tohara
  39. HE-2984 Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja... Hukumu za Swala na Tohara
  40. 1708 Hapigwi mtu zaidi ya viboko kumi isipokuwa kama itakuwa katika kutelekeza sheria miongoni mwa sharia za Mwenye... Hukumu za Swala na Tohara