Kozi
Sahih al-Bukhari

Fiqhi, Swala na Ibada

203 masomo

  1. 1995 Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake Hukumu za Swala na Tohara
  2. HE-10616 Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina n... Hukumu za Swala na Tohara
  3. 359 Asiswali mmoja wenu katika nguo moja ambayo hakuna chochote mabegani mwake Hukumu za Swala na Tohara
  4. 750 Hivi wana nini watu! wananyanyua macho yao mbinguni ndani ya swala zao", ikazidi ukali kauli yake katika hilo,... Hukumu za Swala na Tohara
  5. 812 Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba Hukumu za Swala na Tohara
  6. 1117 Swali ukiwa umesimama, usipoweza basi swali ukiwa umekaa, usipoweza basi ukiwa umelala ubavu Hukumu za Swala na Tohara
  7. 1182 Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake alikuwa haziachi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa mbili kabl... Hukumu za Swala na Tohara
  8. 472 Bwana mmoja alimuuliza Mtume Muhammad rehema na amani za Allah ziwe juu yake akiwa juu ya mimbari, waonaje kuh... Hukumu za Swala na Tohara
  9. 648 Imekuwa ni bora swala ya wengi kuliko swala ya mmoja wenu peke yake, kwa vipengele ishirini na tano, na hukusa... Hukumu za Swala na Tohara
  10. 5940 Kamlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwenye kuunga nywele na mwenye kuungwa, na mwenye kuchora chata n... Hukumu za Swala na Tohara
  11. 5269 Hakika Mwenyezi Mungu amewafutia umma wangu yale yanayozungumzwa na nafsi zao, madamu hayajafanyiwa kazi au ku... Hukumu za Swala na Tohara
  12. 3017 Msiadhibu kwa adhabu ya Mwenyezi Mungu Hukumu za Swala na Tohara
  13. HE-58259 kila kilevi ni haramu, na atakayekunywa pombe duniani na akafa akiwa mlevi kupindukia na hakutubia, hatoinywa... Hukumu za Swala na Tohara
  14. 3166 Atakayemuua aliyechukua ahadi ya kulindwa, hatonusa harufu ya pepo, na hakika hurufu yake hupatikana kuanzia m... Hukumu za Swala na Tohara
  15. HE-65017 Kwa hakika Mwenyezi Mungu anapenda ichukuliwe ruhusa yake katika kufanya yaliyo mepesi, kama vile anavyopendel... Hukumu za Swala na Tohara
  16. 214 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala Hukumu za Swala na Tohara
  17. 157 Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja Hukumu za Swala na Tohara
  18. 158 Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili Hukumu za Swala na Tohara
  19. 896 Ni haki kwa kila muislamu aoge katika kila siku saba walau siku moja, aoshe ndani yake kichwa chake na mwili w... Hukumu za Swala na Tohara
  20. 597 Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo Hukumu za Swala na Tohara
  21. HE-65089 Atakayejenga msikiti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atamjengea Peponi nyumba mfano wake Hukumu za Swala na Tohara
  22. 1190 Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Ms... Hukumu za Swala na Tohara
  23. 444 Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa Hukumu za Swala na Tohara
  24. 917 Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu Hukumu za Swala na Tohara
  25. 803 Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mimi ndiye mtu niliyekaribu zaidi kwenu nyinyi swala... Hukumu za Swala na Tohara
  26. HE-65100 Mwizi mbaya zaidi kuliko watu wote, ni yule anayeiba swala yake" Akasema: Ataiba vipi swala yake? Akasema: "Ha... Hukumu za Swala na Tohara
  27. 844 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi Hukumu za Swala na Tohara
  28. HE-65378 Nilimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikidhi haja ndogo, kisha akatia udhu na kafuta juu ya khufu z... Hukumu za Swala na Tohara
  29. 627 Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adhana mbili kuna swala" Kisha akasema katika mara ya tatu:... Hukumu za Swala na Tohara
  30. 2227 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Watu wa aina tatu mimi ndiye mgomvi wao siku ya Kiyama Hukumu za Swala na Tohara
  31. 908 Peaneni zawadi, mtapendana Hukumu za Swala na Tohara
  32. 6862 Muumini hatoacha kuendelea kuwa katika wigo mpana katika dini yake, madam hajagusa damu ya haramu Hukumu za Swala na Tohara
  33. 5778 Atakayejirusha kutoka juu ya mlima akajiua basi huyo atakuwa motoni akijirusha humo milele na milele Hukumu za Swala na Tohara
  34. 233 Walikuja watu kutoka kabila la Ukli au Uraina, wakauchukia mjini Madina Hukumu za Swala na Tohara
  35. 6780 Msimlaani, Wallahi, namuapa Mwenyezi Mungu sikujua lolote kwake isipokuwa anampenda Mwenyezi Mungu na Mtume wa... Hukumu za Swala na Tohara
  36. 7072 Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani hajui, huenda Shetani akaipokonya kutoka mkononi mwake, aka... Hukumu za Swala na Tohara
  37. 6016 Wallahi hawezi kuamini, Wallahi hawezi kuamini, Wallahi hawezi kuamini", wakasema: Na ni nani huyo ewe Mjumbe... Hukumu za Swala na Tohara
  38. 5787 Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni Hukumu za Swala na Tohara
  39. HE-66392 Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu Hukumu za Swala na Tohara
  40. HE-66510 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu amefaradhisha faradhi basi msizipoteze, na akaweka mipaka basi msiivuke, na akah... Hukumu za Swala na Tohara