Kozi
Sahih al-Bukhari

Fiqhi, Swala na Ibada

203 masomo

  1. HE-4725 Niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi yaleteni katika hayo kadiri muwezavyo, na haki... Hukumu za Swala na Tohara
  2. HE-4850 Atakayekula kitunguusaumu, au kitunguu maji, basi na ajitenge nasi, au ajitenge na msikiti wetu, na akae nyumb... Hukumu za Swala na Tohara
  3. HE-4944 Alikuwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- zinapoingia siku kumi (za mwisho wa ramadhani) anauhuisha usiku,... Hukumu za Swala na Tohara
  4. 6015 Hakuacha Jibrili kuniusia kuhusu jirani, mpaka nikadhania kuwa atamrithisha Hukumu za Swala na Tohara
  5. 528 Hebu nielezeni lau kama Mto ungelikua mlangoni kwa mmoja wenu akioga humo kila siku mara tano, unasemaje kuhus... Hukumu za Swala na Tohara
  6. HE-5212 Hakuwahi kuswali tena Mtume rehema na amani ziwe juu yake swala yoyote baada kuteremka kwake: "Itakapokuja nus... Hukumu za Swala na Tohara
  7. 6357 Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alitoka kwetu sisi, tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tumekwi... Hukumu za Swala na Tohara
  8. 756 Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha) Hukumu za Swala na Tohara
  9. 881 Atakaye koga siku ya Ijumaa josho la janaba, kisha akatoka katika saa ya kwanza ni kana kwamba katoa sadaka ya... Hukumu za Swala na Tohara
  10. 894 Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge Hukumu za Swala na Tohara
  11. HE-5436 Atakayekwenda asubuhi msikitini au mchana, Mwenyezi Mungu humuandalia nyumba peponi kila anapotoka asubuhi au... Hukumu za Swala na Tohara
  12. HE-5542 Ondosha tatizo, ewe Mola wa watu, na ponya kwani wewe ndiye mponyaji, hakuna ponyo ila ponyo lako, ponyo lisil... Hukumu za Swala na Tohara
  13. 6979 Wallah hatochukua chochote yeyote miongoni mwenu pasina haki yake, isipokuwa atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa... Hukumu za Swala na Tohara
  14. 5352 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe Hukumu za Swala na Tohara
  15. HE-5831 Hakuna haki yoyote ya mtu muislamu anayotakiwa kuitolea usia, isipokuwa ahakikishae halali siku tatu, isipokuw... Hukumu za Swala na Tohara
  16. 1905 Enyi kongamano la vijana mwenye uwezo miongoni mwenu wa kuoa na aoe, kwani ndoa ni sababu ya kuinamisha macho... Hukumu za Swala na Tohara
  17. 6732 Gaweni mirathi kwa wastahiki wake, itakayobakia basi mwenye kustahiki zaidi upande wa mwanaume ni wa kiume Hukumu za Swala na Tohara
  18. 5232 Tahadharini sana na kuingia/kukaa kwa wanawake" Mtu mmoja katika Maanswari akasema: Ewe Mtume wa Allah vipi ku... Hukumu za Swala na Tohara
  19. HE-5889 Fedha kwa dhahabu ni riba, ila kama itakuwa mkono kwa mkono, na ngano isiyokobolewa ni riba, ila kama itakuwa... Hukumu za Swala na Tohara
  20. 1979 Hana swaumu atakayefunga milele, na funga ya siku tatu ni sawa na kufunga mwaka mzima Hukumu za Swala na Tohara
  21. 2721 Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu Hukumu za Swala na Tohara
  22. HE-6035 Basi usinifanye mimi kuwa shahidi, kwani siwezi kushuhudia dhulma Hukumu za Swala na Tohara
  23. HE-6086 Asiache mapambo na kupendeza mwanamke yeyote kwa maiti zaidi ya siku tatu, isipokuwa kwa mume wake atakaa miez... Hukumu za Swala na Tohara
  24. 690 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anaposema: Sami'allaahu liman hamidah: (Amemsikia Mwenyezi Mungu m... Hukumu za Swala na Tohara
  25. 6 Alikuwa Mtume wa Allah -rehema na amani ziwe juu yake ni mkarimu kuliko watu wote, na alikuwa mkarimu zaidi an... Hukumu za Swala na Tohara
  26. HE-6255 Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku... Hukumu za Swala na Tohara
  27. HE-6261 Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake Hukumu za Swala na Tohara
  28. 55 Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka Hukumu za Swala na Tohara
  29. 510 Lau angejua mwenye kupita mbele ya mwenye kuswali nini anachokipata, basi kusimama arobaini ni bora kwake kuli... Hukumu za Swala na Tohara
  30. HE-8377 Atakapoamka mmoja wenu kutoka usingizini mwake basi na apenge kwa maji mara tatu, kwani Shetani hulala ndani y... Hukumu za Swala na Tohara
  31. 201 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiosha, au akioga, kwa kibaba kimoja mpaka vibaba vitano, na anat... Hukumu za Swala na Tohara
  32. HE-8392 Atakapotawadha mmoja wenu na akavaa khofu zake (au soksi zake) basi na aswali nazo, na afute juu yake kisha as... Hukumu za Swala na Tohara
  33. 4215 Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku Hukumu za Swala na Tohara
  34. HE-8948 Hakika Misikiti hii haifai kuwekwa chochote katika mikojo hii, wala uchafu wowote, bali hii ni kwa ajili ya ku... Hukumu za Swala na Tohara
  35. 304 Enyi hadhara ya wanawake, toeni sadaka, kwani hakika mimi nilionyeshwa kuwa nyinyi ndio wengi katika watu wa m... Hukumu za Swala na Tohara
  36. HE-10014 Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote Hukumu za Swala na Tohara
  37. 880 Kuoga siku ya Ijumaa ni wajibu kwa kila aliyebaleghe, na apige mswaki, na aguse marashi ikiwa atapata Hukumu za Swala na Tohara
  38. HE-10044 Jisafisheni vizuri kutokana na mkojo; kwani adhabu nyingi za kaburini zinatokana na hilo. Hukumu za Swala na Tohara
  39. HE-10045 Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza kustanji kwa kinyesi cha wanyama au mfupa Hukumu za Swala na Tohara
  40. 1898 Inapokuja Ramadhani hufunguliwa milango ya pepo na hufungwa milango ya moto, na mashetani hufungwa minyororo Hukumu za Swala na Tohara