Kozi
Musnad Ahmad
Maadili, Adabu na Tabia Njema
49 masomo
- HE-66540 Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile lililokukereketa katika nafsi yako na ukawa hukupendezwa watu walione Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65018 Nieleze ndani ya Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote zaidi yako, akasema: "Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mung... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-2932 Ewe Abbasi, ewe ami yake na Mjume wa Mwenyezi Mungu, muombe Mwenyezi Mungu afya katika Dunia na Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3017 Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3142 Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake akisema mara kwa mara: “Ewe Mbadilishaji nyoyo,... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3173 Atakapofika mmoja wenu katika kikao basi na atoe salamu, na akitaka kunyanyuka pia atoe salamu, kwani ya mwanz... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3317 Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo yake juu ya kinywa c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3356 Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3520 Mcheni na Allah Mola wenu Mlezi, na salini swala zenu tano, na fungeni mwezi wenu, na tekelezeni zaka zenu, na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3575 “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yatakayo kunyanyueni juu... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3587 Alikuja mtu mmoja kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akasema: Assalaam alaikum, akamjibu, kisha akakaa, a... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3602 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na ikutoshe nyumba yako... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3705 Hakika umesema neno ambalo lau lingechanganywa na maji ya Bahari basi (lingeyabadili rangi) kwa kuchanganyika... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-3736 Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4212 Basi kusanyikeni katika chakula chenu, na mkitajie jina la Mwenyezi Mungu, mtabarikiwa katika chakula hicho Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4716 Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4721 Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku nde... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4723 Hajawahi kujaza mwanadamu yeyote chombo chenye shari zaidi kama tumbo, kinamtosha mwanadamu kiasi kidogo cha c... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-4964 Kikoi cha muislamu kifikie nusu ya muundi, na wala hakuna tabu wala hakuna ubaya kikiwa kati yake na kati ya f... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5100 Hakuna muislamu yeyote ataomba maombi yasiyokuwa ndani yake na kuomba dhambi wala kukata udugu, isipokuwa Alla... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5344 Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5403 Bahili ni yule ambaye nitatajwa mbele yake, akawa hakuniswalia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5431 Atakayekula chakula, akasema: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha chakula hiki, na akanir... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5476 Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo yatakayowaingiza watu peponi kwa wingi, akasema:... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5485 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5487 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba (unipe) kutoka katika heri zote: zile za haraka na za kuchelewa, kwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5489 Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na kushindwa kulipa deni, na kushindwa na maadui, na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5496 Dua ndio ibada Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5509 Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5514 Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5792 Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5799 Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama usiku Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-5886 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea dua fupi yenye kukusanya, na anaacha mengine yasiyokuw... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6014 Amepata hasara mtu nitakayetajwa mbele yake na akawa hakunitakia rehema, na kapata hasara mtu ambaye itaingia... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6093 Yeyote atakayesema: Bismillaahi lladhi laa yadhurru ma'asmihi shai un fil Ardhwi walaa fis samaai, wahuwas sam... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6257 Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaachana Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6262 Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6614 Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-6820 Allah amng'arishe mtu aliyesikia kutoka kwangu chochote akakifikisha kama alivyo sikia, huenda mfikishiwa akaw... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-10974 Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na maneno machafu wala mwenye kujilazimisha machafu, wala hakuwa na... Wema, Uadilifu na Tabia Njema