Kozi
Musnad Ahmad

Maadili, Adabu na Tabia Njema

49 masomo

  1. HE-58188 Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani nimfanyie wema zaidi? Akasema: "Mama yako, kisha mama yako kis... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  2. HE-65014 Matendo yapo ya aina sita na watu wapo wako aina nne, basi kuna watu wa aina mbili wanaostahiki malipo, na mal... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  3. HE-65049 Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  4. HE-65063 Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  5. HE-65468 Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa isipokuwa moja ya kumi yake, moja ya tisa yake, nane y... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  6. HE-66224 Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  7. HE-66233 Kwa hakika nimetumwa ili kutimiliza tabia njema Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  8. HE-66251 Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuwa na ahadi (za kweli) Wema, Uadilifu na Tabia Njema
  9. HE-66255 Hamshukuru Mwenyezi Mungu asiyewashukuru watu Wema, Uadilifu na Tabia Njema