Kozi
Sahih al-Bukhari
Maadili, Adabu na Tabia Njema
187 masomo
- 652 Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi la miba likiwa njiani akaliondosha, Allah akamshukuru... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-8349 Hakika muumini peponi atakuwa na Hema moja la madini ya lulu lililo wazi urefu wake kwenda juu ni maili sitini... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-8350 Hakika ndani ya Pepo kuna mti ambao anatembea aliyepanda kipando madhubuti chenye uimara na kasi kubwa ya kuki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-8945 Tulikuwa kwa Omari akasema: "Tumekatazwa kujilazimisha Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4779 Amesema Allah Aliyetakasika na kutukuka: Nimewaandalia waja wangu wema, vitu ambavyo jicho halijawahi kuona, w... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5376 Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-58240 Liepukeni chafu hili alilolikataza Mwenyezi Mungu, atakayetumbukia katika hilo basi ajifiche kwa stara ya Mwen... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65006 Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mimi sijaacha dhambi yoyote wala maasi yoyote isipokuwa nimeyafanya, akasema: "Hi... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65047 Msijifunze elimu kwa ajili ya kujifaharisha kuwa ni katika maulama, wala kwa kujadiliana na wasiokuwa na elimu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4547 Ikiwa utawaona wenye kufuata Aya zenye kutatiza basi hao ndiyo ambao Mwenyezi Mungu amewataja katika aya Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 615 Lau wangejua watu waliyomo katika Adhana na safu ya kwanza, kisha wasipate nafasi ila kwa kupiga kura ili kuya... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4907 Achaneni (na ubaguzi) kwani una nuka Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6455 Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo mmoja utakuwa ni tend... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 5416 Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake tangu al... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-65820 Lilikuwa tandiko la Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni kutokana na ngozi, na ndani limejazwa majani ya mit... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 2739 Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa kifo chake Dirham moja wala Dinari, wala mtumwa wala ki... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 3293 Atakayesema: (Laa ilaaha illa llahu, wah-dahu laa sharika lahu, Lahul mulku, Walahul hamdu, Wahuwa alaa kulli... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 18 Nipeni ahadi ya utiifu ya kuwa msimshirikishe Mwenyezi Mungu na kitu chochote, na wala msiibe, na wala msizini Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 6420 Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili: Katika kupenda dunia na matumaini ya muda mrefu Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1231 Kwa hakika nimetumwa ili kutimiliza tabia njema Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 1423 Watu wa aina saba atawapa kivuli Mwenyezi Mungu Mtukufu siku ambayo hapatokuwa na kivuli isipokuwa kivuli chak... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- 4826 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Ananiudhi mimi mwanadamu, anatukana nyakati na mimi ndiye nyakati, ninaugeuza... Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66294 Msiingie miji ya wale waliozidhulumu nafsi zao, isipokuwa muwe mnalia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66511 Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilolinuia Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66515 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66520 Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Wema, Uadilifu na Tabia Njema
- HE-66523 Hakika katika yale waliyoyakuta watu miongoni mwa maneno ya kiutume ya mwanzo, usipokuwa na haya basi fanya ul... Wema, Uadilifu na Tabia Njema