Dua ya Kuingia Msikitini
اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ.
Ee Mwenyezi Mungu, nifungulie milango ya rehema Yako.
Dua sahihi na adhkar zilizothibitishwa kutoka katika Qur'an na mafundisho ya Mtume Muhammad ﷺ. Hifadhi ya moyo, amani ya nafsi, na kinga ya muumini katika kila nyakati za maisha.
اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ.
Ee Mwenyezi Mungu, nifungulie milango ya rehema Yako.
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِكَ.
Ee Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako.
أَسْتَغْفِرُ اللَّهَ (ثَلاَثاً)، اللَّهُمَّ أَنْتَ السَّلاَمُ، وَمِنْكَ السَّلاَمُ، تَبَارَكْتَ يَا ذَا الْجَلاَلِ وَالإِكْرَامِ.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu msamaha (mara 3). Ee Mwenyezi Mungu, Wewe ndiye Amani, na kutoka Kwako ndiko kunakotoka amani. Umebarikika Ewe Mwenye Utukufu na Ukari...
بِسْمِ اللَّهِ.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu.
أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ. اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي مِنَ التَّوَّابِينَ وَاجْعَلْنِي مِنَ الْ...
Nashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika, na nashuhudia kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake....
سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، وَتَبَارَكَ اسْمُكَ، وَتَعَالَى جَدُّكَ، وَلاَ إِلَهَ غَيْرُكَ.
Kutakasika ni Kwako Ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako, limetukuka Jina Lako, na umetukuka utukufu Wako, na hapana mola mwingine apasaye kuabudiwa as...
سُبْحَانَ رَبِّيَ الأَعْلَى.
Ametakasika Mola wangu Mlezi Aliye Juu kabisa.
ذَهَبَ الظَّمَأُ، وَابْتَلَّتِ الْعُرُوقُ، وَثَبَتَ الأَجْرُ إِنْ شَاءَ اللَّهُ.
Kiu kimeondoka, na mishipa imelowa maji, na ujira umethibiti akipenda Mwenyezi Mungu.
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْتَخِيرُكَ بِعِلْمِكَ، وَأَسْتَقْدِرُكَ بِقُدْرَتِكَ، وَأَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِكَ الْعَظِيمِ، فَإِنَّكَ تَقْدِرُ وَلاَ أَقْدِرُ، وَتَعْلَمُ وَلاَ أَعْلَمُ، وَأَ...
Ewe Mwenyezi Mungu, nakuomba unichagulie kwa ilimu Yako, na nakuomba uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba katika fadhila Zako kuu, kwani Wewe Unaweza nami siw...
وَأَنَا أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ، رَضِيتُ بِاللَّهِ رَبًّا، وَبِمُحَمَّدٍ رَسُولاً، وَبِالإِسْلاَم...
Nami pia ninashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika, na kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake....
اللَّهُمَّ رَبَّ هَذِهِ الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ، وَالصَّلاَةِ الْقَائِمَةِ، آتِ مُحَمَّدًا الْوَسِيلَةَ وَالْفَضِيلَةَ، وَابْعَثْهُ مَقَامًا مَحْمُودًا الَّذِي وَعَدْتَهُ.
Ewe Mwenyezi Mungu, Mola wa wito huu uliokamilika, na swala hii iliyosimama, mpe Mtume Muhammad daraja ya juu ya Al-Wasilah na fadhila, na umfufue katika cheo c...
اللَّهُمَّ اجْعَلْ فِي قَلْبِي نُورًا، وَفِي لِسَانِي نُورًا، وَفِي سَمْعِي نُورًا، وَفِي بَصَرِي نُورًا، وَمِنْ فَوْقِي نُورًا، وَمِنْ تَحْتِي نُورًا، وَعَنْ يَمِينِي نُورًا، وَعَ...
Ewe Mwenyezi Mungu, weka nuru moyoni mwangu, na katika ulimi wangu nuru, na katika masikio yangu nuru, na katika macho yangu nuru, na juu yangu nuru, na chini y...