Swala na Msikiti
Soma mara 1
MAANDISHI YA KIARABU
العربية بالتشكيل
بِسْمِ اللَّهِ.
MATAMSHI (NAMNA YA KUSOMA)
"Bismillaah."
TAFSIRI YA KISWAHILI
Kwa jina la Mwenyezi Mungu.
ENGLISH TRANSLATION
In the name of Allah.
Fadhila za Dua Hii:
Hakuna wudhu kamili kwa yule asiyetaja jina la Mwenyezi Mungu kabla ya kuanza.