Nyuma
Swala na Msikiti · HISN AL-MUSLIM

Dua Wakati wa Kusikia Adhana

الذكر عند سماع الأذان

Swala na Msikiti Soma mara 1

وَأَنَا أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، وَأَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ، رَضِيتُ بِاللَّهِ رَبًّا، وَبِمُحَمَّدٍ رَسُولاً، وَبِالإِسْلاَمِ دِينًا.

"Wa anaa ash-hadu an laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, wa anna Muhammadan 'abduhu wa Rasooluh, radheetu billaahi Rabbaa, wa bi Muhammadin Rasoolaa, wa bil-Islaami deenaa."

Nami pia ninashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika, na kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake. Nimeridhika na Mwenyezi Mungu kuwa Mola wangu, na Muhammad kuwa Mtume wangu, na Uislamu kuwa dini yangu.

And I bear witness that none has the right to be worshipped except Allah alone, without partner, and that Muhammad is His slave and Messenger. I am pleased with Allah as my Lord, Muhammad as Messenger, and Islam as my religion.

KAUNTA YA KUSOMA DUA HII Lengo: Mara 1
Fadhila za Dua Hii:

Mwenye kuisoma baada ya muadhini kutoa shahada anasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.

Rejea na Chanzo

Kitabu / Chanzo:
Hisn al-Muslim #22, Sahih Muslim 386