اللَّهُمَّ رَبَّ هَذِهِ الدَّعْوَةِ التَّامَّةِ، وَالصَّلاَةِ الْقَائِمَةِ، آتِ مُحَمَّدًا الْوَسِيلَةَ وَالْفَضِيلَةَ، وَابْعَثْهُ مَقَامًا مَحْمُودًا الَّذِي وَعَدْتَهُ.
"Allaahumma Rabba haadhihid-da'watit-taammah, was-salaatil-qaa'imah, aati Muhammadanil-waseelata wal-fadheelah, wab'ath-hu maqaamam-mahmoodanil-ladhee wa'adtah."
Ewe Mwenyezi Mungu, Mola wa wito huu uliokamilika, na swala hii iliyosimama, mpe Mtume Muhammad daraja ya juu ya Al-Wasilah na fadhila, na umfufue katika cheo chenye kusifiwa Ulichomuahidi.
O Allah, Lord of this perfect call and established prayer, grant Muhammad the Wasilah and favor, and raise him to the praised station which You have promised him.
Mwenye kusoma dua hii baada ya adhana atastahiki kupata uombezi (shafaa) wa Mtume Muhammad ﷺ Siku ya Kiyama.