أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمَّدًا عَبْدُهُ وَرَسُولُهُ. اللَّهُمَّ اجْعَلْنِي مِنَ التَّوَّابِينَ وَاجْعَلْنِي مِنَ الْمُتَطَهِّرِينَ.
"Ash-hadu an laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, wa ash-hadu anna Muhammadan 'abduhu wa Rasooluh. Allaahummaj'alnee minat-tawwaabeena waj'alnee minal-mutatahhireen."
Nashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee hana mshirika, na nashuhudia kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake. Ewe Mwenyezi Mungu, nijaalie niwe miongoni mwa wanaotubu na unijaalie niwe miongoni mwa wanaojitakasa.
I bear witness that none has the right to be worshipped except Allah alone, without partner, and I bear witness that Muhammad is His slave and Messenger. O Allah, make me of the repentant and make me of the purified.
Mwenye kuisoma hufunguliwa milango minane ya Pepo aingie kwa ule anaotaka.