Nyuma
Swala na Msikiti · HISN AL-MUSLIM

Dua ya Kufungua Swala (Du'a al-Istiftah)

دعاء الاستفتاح في الصلاة

Swala na Msikiti Soma mara 1

سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، وَتَبَارَكَ اسْمُكَ، وَتَعَالَى جَدُّكَ، وَلاَ إِلَهَ غَيْرُكَ.

"Subhaanakallaahumma wa bihamdika, wa tabaarakasmuka, wa ta'aalaa jadduka, wa laa ilaaha ghayruk."

Kutakasika ni Kwako Ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako, limetukuka Jina Lako, na umetukuka utukufu Wako, na hapana mola mwingine apasaye kuabudiwa asiyekuwa Wewe.

Glory is to You, O Allah, and praise; blessed is Your Name and exalted is Your Majesty, and there is no deity worthy of worship besides You.

KAUNTA YA KUSOMA DUA HII Lengo: Mara 1
Fadhila za Dua Hii:

Inasomwa kwa siri mara baada ya Takbiratul Ihram kabla ya kuanza kusoma Surat Al-Fatiha.

Rejea na Chanzo

Kitabu / Chanzo:
Hisn al-Muslim #27, Abu Dawud 775, Tirmidhi 242