أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ.
"A'oodhu bikalimaatil-laahit-taammaati min sharri maa khalaq."
Ninajikinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyokamilika kutokana na shari ya vile Alivyoviumba.
I seek refuge in the perfect words of Allah from the evil of what He has created.
Mwenye kuisoma mara 3 jioni, hawezi kudhuriwa na mdudu mwenye sumu wala kiumbe chochote chenye shari usiku huo.